Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

Atakuwa amesoma vyema Alama za Nyakati, na atapiga sana hela.... Akiwa serious atifikia Jungu Kuu la Asali.

Azichange vema karata zake.
Safi sana watazania wengi wanamwelewa sana kuliko hawa chadema hata wanachoongea hatukielewi. Kusema ukweli nani anamwelewa kaka mbowe lisu na lema hata walixchojia tanzania hatukielewi kabisa Silaa mimi kama mkono wa tembo nitainua mkonga wangu mbinguni kukuombea
 
Nani msaliti kati ya yule anayeenda kufungua mkutano wa siasa mwanza amelewa na aliyechukua rushwa kumkaribisha lowasa?

Kwa hiyo kosa moja likifanyika ndipo badala ya kutulia kufanya maamuzi sahihi yeye kuamua kwenda kujiunga ule upande unaona ilikuwa sahihi?

Ilikuwa ni kutafuta sababu tu ya kuondoka Na Delila ufahamu wake ni Mdogo akaona kwenda kuishi nje ni kufanikiwa kwenye kila kitu kumbe siyo wala nini!
 
Mimi nilidhani tungemtaka Mbowe atuombe radhi kwa kumkaribisha Lowassa kwenye chama chetu, licha ya kuwa tulimtambua kama fisadi mkuu kabla ya mwaka 2015.

Au huo haukuwa usaliti?

Faida za kumkubali zilikuwa ni nyingi kuliko kumkataa.

Uliona matunda yatokanayo na jamaa kujiunga upinzani?
 
Bora kipitikane chama cha upinzani wa kweli na sio kama awa wengine.
Hawa waliopo sasa ni wachumia tumbo tu, wanapiga kelele pale ambapo wanabaniwa mirija yao ya kupiga hela (kama ilivyokuwa wakati wa JPM), na wanafyata mikia yao pale ambapo wanapewa buyu la asali kama ilivyo sasa.

Amini kwamba hata JPM angekubali kula nao, basi usingesikia kelele zile walizokuwa wanapiga.
 
Nitajiandikisha haraka sana, na nitagombea ubunge ama udiwani.
Ninahakika nitashinda kwa kishindo kutokana na mtazamo na maneno ya watu huku mtaanikwetu.
 
Mwendakuzimu hakukuwa na alichokuwa akikiamini, he was living by the day. Atakavyoamka siku hiyo mood yake ndiyo humuongoza aamini kitu gani, ile issue ya kwamba ana file Mirembe ilikuwa ikijidhihirisha katika matendo yake. Hata chawa wake walichokuwa wakijua ni kwamba wakimfurahisha kwa namna yoyote ile basi uhakika wa ulaji(ubwiaji asali) kwao unakuwepo, yaani sera ilikuwa ni kumfurahisha Jiwe.
This is soo unfair

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kitakuja kuhodhie team jpm na team slaa!!

Yaani neutralization reaction ya ccm na Chadema!!

Ni Chama kipya cha UPINZANI Baada ya kifo cha CHADEMA!

Pole pole, Bashiru usajili mpya huo hapo 2025!
Kuwaibia kura Hawa itakuwa ngumu maana michongo yote wanaijua
 
Faida za kumkubali zilikuwa ni nyingi kuliko kumkataa.

Uliona matunda yatokanayo na jamaa kujiunga upinzani?
Mkuu inaelekea wewe umeanza kufuatilia siasa za Tanzania juzi!

Chadema kilikufa siku walipokubali kumpokea Lowasa, hakiwezi kuaminiwa na watu timamu tena, KAMWE!

Walikosea sana ku compromise kwenye misingi ya kuanzishwa kwao na ukikosea hapo maana yake hakuna taasisi.

Mimi binafsi nilikua nawakubali sana lakini baada ya pale nilijisikia kuwadharau sana.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu inaelekea wewe umeanza kufuatilia siasa za Tanzania juzi!

Chadema kilikufa siku walipokubali kumpokea Lowasa, hakiwezi kuaminiwa na watu timamu tena, KAMWE!

Walikosea sana ku compromise kwenye misingi ya kuanzishwa kwao na ukikosea hapo maana yake hakuna taasisi.

Mimi binafsi nilikua nawakubali sana lakini baada ya pale nilijisikia kuwadharau sana.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app

Ni zaidi ya hivyo @ Ndugu!
Kuna mambo hutokea inabidi maamuzi yafanyike Na yakofanyika vile.
Halafu Kwani tatizo lilikuwa ni nini?!
Kwani upande ule alokuwa msafi alikuwa yupi?
Na hata hao wengine Pengine ni Wasafi sababu fursa bado hawajazipata!

Ndio maana TEC wanataka Viongozi waondolewe kinga.
 
Back
Top Bottom