Dkt. Slaa kuongoza kongamano kujadili falsafa ya Hayati Magufuli

Dkt. Slaa kuongoza kongamano kujadili falsafa ya Hayati Magufuli

Itakuwa hot sana ila wangekaribisha na critics wa JPM ili tusikie hoja za kina pande zote. John Heche, Ezekiel Wenje au hata Lissu awakilishe on line.

Ni vizuri wasomi wakajadiliana kisomi bila ushabiki kama tulivyo wafuasi na wapenzi wa vyama.
Mnajadili falsafa za Magufuli fo change VS Movement for change huku mmejaza mashabiki wa upande mmoja?
 
Itakuwa hot sana ila wangekaribisha na critics wa JPM ili tusikie hoja za kina pande zote. John Heche, Ezekiel Wenje au hata Lissu awakilishe on line.

Ni vizuri wasomi wakajadiliana kisomi bila ushabiki kama tulivyo wafuasi na wapenzi wa vyama.
Itakuwa kufuru kwa JPM ambaye alikuwa hapendi mijadala yoyote ya kumkosoa zaidi ya mapambio
 
Zama za Dr. Slaa zilishakwisha kitambo sana. Hajui anasimamia nini kwa sasa, yaani ni kama popo. Sio mtu sahihi kuwa katika hilo kongamano kama mzungumzaji. Kifupi anatafuta political attention ili aweze kurejea kwenye siasa za Tz...
Wana bahati hawa , Samia ni mvumilivu
 
Back
Top Bottom