Dkt. Slaa kuongoza kongamano kujadili falsafa ya Hayati Magufuli

Dkt. Slaa kuongoza kongamano kujadili falsafa ya Hayati Magufuli

Huyu Costa Mahalu, hivi ndiyo yule aliyewahi kuwa Balozi wetu nchini Italy kwenye awamu ya 3, na akaja kushtakiwa na awamu ya 4 kwamba alitumia pesa vibaya? Kabla ya kutetewa na BWM kortini?

Ndiye huyu?
 
Masikini Magufuli, hakuna hata intellectual wa maana anayemshobokea kuhusu legacy yake

Ni hao watu wa ukanda wake tu, eti Musukuma na Shibuda
Angalau hao wanarudisha ihsani... wengine washapoteana wanaona hadi shida kutamka Magufuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mahalu analipa fadhila kwa yote Jiwe aliyomtendea ikiwemo kumrudishia hadhi ya ubalozi

Kweli nguvu yote ile Jiwe leo anatetewa na watu dhalili kama akina Slaa na Shibuda?
 
Itakuwa hot sana ila wangekaribisha na critics wa JPM ili tusikie hoja za kina pande zote. John Heche, Ezekiel Wenje au hata Lissu awakilishe on line.
Good idea, but, unfortunately partisanship has robbed us our sense of judgement.

Unategemea nini kutoka kwa mtu ambaye mpaka leo anaamini kuwa Slaa aliwasaliti 2015!
 
Wote hapo na Madokta na Maprofesa kasoro Shibuda!

Wangemuongeza Dr Anthony Diallo.
Itakuwa hot sana ila wangekaribisha na critics wa JPM ili tusikie hoja za kina pande zote. John Heche, Ezekiel Wenje au hata Lissu awakilishe on line.

Ni vizuri wasomi wakajadiliana kisomi bila ushabiki kama tulivyo wafuasi na wapenzi wa vyama.
 
Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli....
Aathudhuria yeye na Rose Kamili.

Sisi tumeachana na udikteta
 
Moderator Paw
Unganisheni huu uzi
 
Magufuli ana hasara gani wew ni mjinga kweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hasara ni kuja kusahaulika kabisa!! Kwa wananchi wengi, kutokana na matendo yake maovu kuwa mengi kuliko mazuri!!unaona kina Mandela , Nyerere, na wengine hawatasahaulika lakini .Na legacy wala haihitaji nguvu kuelezwa bali hujieleza yenyewe!

Na kibaya zaidi kwa njinsi mama anayofanya mengi mazuri ya kuliponya taifa ndio kabisaa, jamaa anazidi kusahaulika!!
 
Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli...
Hivi wasomi wetu hawana shughuli zingine hadi kuandaa kongamano kama hili.Sasa hivi redio Tv kutwa kumsifia Samia na mwaka mmoja wa magufuli.Hatunywi maji .kwa hiyo PHD ya Msukuma inatumbulika na Chuo cha sauti.bongo aisee ni kiboko.
 
Back
Top Bottom