Dkt. Slaa kuongoza kongamano kujadili falsafa ya Hayati Magufuli

Good idea, but, unfortunately partisanship has robbed us our sense of judgement.

Unategemea nini kutoka kwa mtu ambaye mpaka leo anaamini kuwa Slaa aliwasaliti 2015!
Dr Slaa kudaiwa ni msaliti 2015 ni moja ya unafiki wa kisiasa ambao hadi leo umenifanya nione hata hivi vyama vya upinzani ni vya ovyo! Hilo sitokuja kubadili msimamo.

Kitu ambacho nina uhakika, Dr Slaa pamoja na umri wake kusogea bado reasoning yake ni far better than most of our current politicians.

Hakuna mwanasiasa anayeweza kupambana kwa hoja na Dr Slaa, narudia hoja si matusi! HAYUPO!
 
Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli.

Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25, mwaka huu katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya tafakuri ya miaka sita ya utekelezaji wa falsafa aliyoitumia hayati Magufuli wakati akiomba ridhaa ya kuiongoza nchi 2015.

Akizungumza leo na waandishi wa habari ofisini kwake, Makamu Mkuu wa Chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza, Profesa Costa Mahalu ametaja wazungumzaji wengine katika kongamano hilo kuwa ni Mbunge Mstaafu wa Bariadi Mashariki, John Shibuda na Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma.

Makamu Mkuu wa Chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Profesa Costa Mahalu akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Mwanza.

Wengine ni wahadhiri na watafiti wabobezi wa Historia na Uchumi katika chuo hicho, Profesa Mihanjo Eginald na Dk Anne Gongwe.

"Wakati wa uchaguzi mwaka 2015, tulisikia CCM ikitumia slogani ya Magufuli for Change huku Chadema ikitumia- Movement for Change, kongamano hili litaenda kutafakari utekelezaji kwa vitendo vya slogan hizo," amesema Profesa Mahalu

Profesa Mahalu amewaomba wasomi, wanataaluma na watanzania kujitokeza kwa wingi katika kongamano hilo ili kutoa mchango wao wakati huu ambao nchi inafanya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha Hayati John Magufuli na mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwi Kwi Kwi
 
Hana jipya kama wewe usivyo na jipya.
Dr Slaa haliwahi kuwa bora. Sasa ubora ulikwisha kiasi kwamba hata mkewe bi Delila alisha mkimbia
 
Sasa kuna correlation gani hapo? Sasa ubora wake kabla na sasa kwa mkewe wewe umeujuaje? Ndio maana mwenye akili timamu hawezi kuwaunga mkono kwa trend yenu ya kihuni mitandaoni tofauti na zamani. Hizi zilikuwa mambo za Lumumba FC enzi hizo.
 
Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli.

Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25, mwaka huu katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya tafakuri ya miaka sita ya utekelezaji wa falsafa aliyoitumia hayati Magufuli wakati akiomba ridhaa ya kuiongoza nchi 2015.

Akizungumza leo na waandishi wa habari ofisini kwake, Makamu Mkuu wa Chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza, Profesa Costa Mahalu ametaja wazungumzaji wengine katika kongamano hilo kuwa ni Mbunge Mstaafu wa Bariadi Mashariki, John Shibuda na Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma.

Makamu Mkuu wa Chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Profesa Costa Mahalu akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Mwanza.

Wengine ni wahadhiri na watafiti wabobezi wa Historia na Uchumi katika chuo hicho, Profesa Mihanjo Eginald na Dk Anne Gongwe.

"Wakati wa uchaguzi mwaka 2015, tulisikia CCM ikitumia slogani ya Magufuli for Change huku Chadema ikitumia- Movement for Change, kongamano hili litaenda kutafakari utekelezaji kwa vitendo vya slogan hizo," amesema Profesa Mahalu

Profesa Mahalu amewaomba wasomi, wanataaluma na watanzania kujitokeza kwa wingi katika kongamano hilo ili kutoa mchango wao wakati huu ambao nchi inafanya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha Hayati John Magufuli na mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Sent using Jamii Forums mobile app
Semeni yote lakini KAGIBA MPYA ni dawa ya haya yote. Kongamano za kuteta yasiyo na tija sijui muda na maandalizi yanagharimu kiasi gani.
Tunakosea wapi??
 
Magufuli hakuwa na falsafa yoyote, alikuwa ni mtu wa kukurupuka, hakuna mwanafalsafa mkurupukaji wale anaeunda "kikosi kazi" cha mauaji.

Huyo Slaa ubalozi aliohongwa asitake kulisha watu matango pori.
 
Mwanasiasa bora kabisa kuwahi kutokea ktk nchi hii.

Viva Dr slaaa!

Mwanasiasa mkweli asiyeyumba wala kuyumbishwa ktk misimamo yake.
Mwanasiasa bora kabisa kutokea kupigwa vibao na mke/mchumba na kulazwa kwenye gari huku ndani mtu mwingine akipatiwa shuntama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli...
Opposers tupo,watakubali tukimpopoa Magu?

Wajiandae nakuja kuclash hiyo motion yao
 
Magufuli hakuwa na falsafa yoyote, alikuwa ni mtu wa kukurupuka, hakuna mwanafalsafa mkurupukaji wale anaeunda "kikosi kazi" cha mauaji.

Huyo Slaa ubalozi aliohongwa asitake kulisha watu matango pori.
Magufuli ni kipenzi cha watanzania wengi sana. Karibu kwenye kongamano tusikie nondo za wasomi huku tukienzi falsafa za shujaa wa Africa.
 
Mwanasiasa bora kabisa kutokea kupigwa vibao na mke/mchumba na kulazwa kwenye gari huku ndani mtu mwingine akipatiwa shuntama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo ni yako, pia kwamwanaume ni aibu kuingilia faragha za watu.
Mbona tabia za mkeo kugawa utamu kwa majirani huandiki humu?
 
Ooh hizo ni Zama za kale, ZILIPENDWA!

Kumbukizi ya mwaka wakulungwa wakaifunika na HEKO MAMA MWAKA MMOJA!

Chama la wana hawashindwi kitu!
Mambo ya kutekana, ZILIPENDWA
Mambo ya kuuana,ZILIPENDWA
Viroba baharini,ZILIPENDWA
Kupangiana muda wa kunywa Bia,ZILIPENDWA
Mambo ya kufokewa,ZILIPENDWA
Kubambikiana makesi ya kuhujumu Uchumi,ZILIPENDWA
 
Back
Top Bottom