Dkt. Slaa kurejea CHADEMA? Tume ya Warioba ilitugharimu vikao vingi vya ndani

Mbowe na sa100 Kuna jambo hawatwambii.

Bt kama ni jema, why waruhusu UBADHILIFU aina hii while Kila mmoja akimstahi mwenzie?
 
Mkuu mjadala hufanyika mara kwa mara? Muda gani? Room ya club house inaitwaje nifuatilie siku nyingine?
Huu ni mjadala ambao huanzishwa na yeyote, aikiwa umemfollow amwanzishaji basi utapata notification nawe utaweza ku join au kuacha.
Ushauri uwa follow hawa;
Lissu
Binti karume
Binti Sarungi
Lema
Hawa mara nyingi wanashiriki hii mijadala hivyo wakianzisha utapata notification
 
Yeah Room za maana sana
 
Habari za asubuhi
 
Ni mkakati maalum unaoratibiwa na manguli wa fitna za kisiasa nchini.
Inawezekana maana Dkt Slaa alishakuwa balozi. YOU must know what it takes some one kuwa balozi kwenye nchi yetu.
 
Mbowe na sa100 Kuna jambo hawatwambii.

Bt kama ni jema, why waruhusu UBADHILIFU aina hii while Kila mmoja akimstahi mwenzie?
LABDA

Mama ana muda mfupi wa kufurahia kiti chake,na anajua katiba mpya lazima ipatikane na haoni Namna ccm itasimama katika chaguzi za katiba mpya!!!

Hivyo wameteta kisiri Kila mmoja amsitiri mwenzake katika KIPINDI hiki huku akimuahidi kwamba atawaponya majeraha yale ya kisiasa na kuwalipa haki zao wahanga wote wa regime iliyopita"

Na akamuomba Mwamba asitishe harakati zake za maandamano na mikutano ambayo itamharibia ulambaji asali na kujiweka sawa KWA muda mfupi wa utawala Wake! kwani wapinzani ni wengi Sana Hadi ndani ya CHAMA Hivyo mikutano ya CHADEMA ita destabilize uongozi wake KWA wasaliti kutoa Siri za Serikali na kuwapa CHADEMA Kisha Hali iwe mbaya kwake kisiasa!!

LABDA !

Najaribu kufikiria hivi

"Mawazo HURU HAYA ya mlipa kodi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…