Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KADI ni Mali binafsi ya mtu.Ila Dr Slaa bado yupo na kadi yq CCM watu kama hawa ata kama wakiwa positive kupita kiasi bado sio wa kuwaamin maana hujipenda wenyewe na ni wabinafsi sana..Uyu akirudi Chadema kura yangu naipiga chin
Sawa DadaPunguza maswali ya kijuha
Dr Slaa leo tar 13 Dec 2022 akiwa ktk Mtandao wa Club house kwenye mjadala unaoendelea kuhusu mahitaji na Katiba Mpya, na Demokrasia nchini.
Dr Slaa anasema wanaisemea sana CHADEMA kwa kuwa ndio Chama chenye Nguvu.
Hata hivyo amesema madai ya Katiba Mpya bado yanahitaji maridhiano kati ya vyama vya siasa, wananchi na serikali kwa kuwa serikali na ccm ndio wenye mpini.
Anadai kwa kusema kihistoria hata mafanikio ya kuundwa Tume ya Katiba Mpya chini ya Jaji Joseph Sinde Warioba ilichukua hatua mbali mbali za Dr Salaa pamoja na wenzake kwenda kufanya mazungumzo Ikulu ya Rais miaka ya 2012.
Mkutano huo unaofatiliwa na Maelfu ya Watanzania na kuungwa mkono na wanasiasa nguli kama
Dr. Lwaitama
Dr Slaa
Mh Lema
Na wadau wengi.
Naye Dr Lwaitama amemsifu na kumpongeza Dr Slaa kwa maoni yake mazuri yanayoonesha mwelekeo mzuri ambao unaonesha kweli Katiba Mpya ni hitaji la watanzanua wengi.
Akiongea moderator wa Mjadala ambaye hakufahamika jina lake haraka, alisema inawezekanaje Mh Rais wa Tanzania ameenda Marekani kimya kimya tofauti na ziara zingine?
Notion ya kugeukwa ni kama shilingi, mimi naona Chadema ilisalitiwa na Dr Slaa akataa kuwa sehemu ya huo uchafu.Not real Mr Mtazamo.
Wakati ambapo tulimhitaji alitugeuka.
Hayo maslah aliyoona yanasalitiwa ambayo Watu woote hawakuyaona akina Lipiumba na akina Mama Tanzania yeye ni nani?Notion ya kugeukwa ni kama shilingi, mimi naona Chadema ilisalitiwa na Dr Slaa akataa kuwa sehemu ya huo uchafu.
Ni mzee mwenye ujasili sana. Kwa makundi ya Wazee wastaaf hapa Tz si rahisi kujiunga na Siasa za Upinzani.Eti wanasiasa nguli!!huyo lwaitama ni mwanasiasa nguli?mi namwonaga kama mjanja mjanja mmoja hivi,tangu amestaafu chuo pale akawa ana tunga tunga vitabu vyake akawa anajiita mzee hoja huko kwenye siasa kajipa hika juzi juzi juzi tuu hapa usiseme nguli.
Hahaha wanawake walimponza Samson na Nabii Suleiman sembuse Slaa?Dr. Slaa alizingua sana kukubali kushikiwa akili na lile kahaba alilopora kwa Mahimbo,sasa hivi limempiga chini ndiyo akili zinaanza kumkaa sawa.
Alikuwa Asset toka zamani yeye akajali maslahi binafsiNdo mnajua Leo Dr Slaa alikuwa asset kwa chadema
Uri wariaaa waferia vijaaaa na kukooooOmofangaa na
Sahivi halambi asali tenaKuna wakati akili Huwa zinamlejea nilimheshimu sana Mzee huyu AKAJA kuniumiza sana alipojichotea chake kutoka CCM sitakuja kumheshimu kamwe
Uri wariaaa waferia vijaaaa na kukoooo
Duuh matusi haya ndugu yanguDr. Slaa alizingua sana kukubali kushikiwa akili na lile kahaba alilopora kwa Mahimbo,sasa hivi limempiga chini ndiyo akili zinaanza kumkaa sawa.
😅😅😅😅Wanasiasa huwa hawaelewekagi
Mbona wakati wa yule,alikuwa kimya
Ova