Dkt. Slaa kurejea CHADEMA? Tume ya Warioba ilitugharimu vikao vingi vya ndani

🤣🤣🤣sawa mkuu. Labda tuseme hivyo
 
"Serikali na CCM ndio wenye mpini"

Hapa ndipo penye chanzo cha tatizo, na ndio maana Katiba Mpya inachelewa kupatikana, panahitajika jitihada za dhati kujinasua kutoka kwenye huo mkwamo.
 
Mzee ana haha sana ameona wakina Mbowe wakiongea na Raisi sasa ana tafuta njia za yeye naye kujaliwa kama Mbowe.
 
Yaani nyie watu huwa mnapenda makorokoro kama wendawazimu. Yaani mkiona mahali pako safi ni lazima mpageuze jalala!!
 
Mzee ana haha sana ameona wakina Mbowe wakiongea na Raisi sasa ana tafuta njia za yeye naye kujaliwa kama Mbowe.
Awamu hii Mbowe ataongea na Rais wakiwa mbele ya Biden.

Kumbe Chadema wako very strategic sana.

Tuliosoma Uganda Makerere tunaelewana
 
"Serikali na CCM ndio wenye mpini"

Hapa ndipo penye chanzo cha tatizo, na ndio maana Katiba Mpya inachelewa kupatikana, panahitajika jitihada za dhati kujinasua kutoka kwenye huo mkwamo.
Dkt Slaaa amesema hii katiba iliyopo inainufaisha CCM na wakiendelea kuishikilia ipo siku italeta maafa kwa taifa. Na yeye ameahidi hata acga kuishauri serikali maana tayari madhara ya Katiba Mbovu yako wazi na yanalitafuna Taifa.
 
Ila Dr Slaa bado yupo na kadi yq CCM watu kama hawa ata kama wakiwa positive kupita kiasi bado sio wa kuwaamin maana hujipenda wenyewe na ni wabinafsi sana..Uyu akirudi Chadema kura yangu naipiga chin
 
Hahaha Chadema hawezi kupewa daraja la juu tena.
 
Slaa huyu huyu arudi Chadema ?
JokaKuu Allen Kilewella
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…