Dkt. Slaa: Kuwaondoa wasiowasikiliza Wananchi, siyo Uhaini

Dkt. Slaa: Kuwaondoa wasiowasikiliza Wananchi, siyo Uhaini

Kama hizo hela ziliingilia mdomoni basi zitatokea mahali popote palipo wazi!!!" Magufuli.

Waliojigeuza marketing officers wa kampuni la DP world na madalali wote waliokula hizo hela za kuhongwa ujumbe uwafikie.

Kama mlikuwa mnanunua magari na kuyaandika majina yenu mtakiona cha mtema kuni safari hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari hii imfikie huyu
FB_IMG_1687274664760.jpg
 
Hata mimi nimeliona kama ulivyoliona wewe !!
Ni kama vile ukikuta watu wanabishana kuhusu Simba na Yanga 😅😅
Ukiwasikiliza utaambulia patupu maana huwezi kujua nani yupo sahihi!
Kila mtu anavutia upande wa timu yake !
Hii sio Simba na Yanga yaani ni Pumba na Mchele.....

Kama Mkataba / Makubaliano haya ni Mabaya hata wakisema watarekenisha kumbuka warekebishaji ni hao hao waliotuingiza kwenye Mikataba Lukuki (Sasa jiulize tangia Taifa hili lianze kazi ya Udalali ni Mikataba mingapi ambayo hatujapigwa) Win - Win ?
 
Akihojiwa na DW amesikika Dkt Slaa:

"Alipokamatwa akishtakiwa kwa uhaini alijiandaa kwa kifungo cha maisha na hata kunyongwa.".

View attachment 2727215

Ameendelea Slaa: "kutamka au kuwaondoa wasiowasikiliza wananchi hakuwezi kuwa uhaini",

Kwamba hilo ni kwa mujibu wa Katiba yenyewe.

Tusiogope waungwana kula na mtu sahani moja ni kwa mujibu wa katiba hii hii.
 
Ila hili sakata la bandari kweli nimekosa cha kusema maana naona kila mtu anakuja na story yake tu. Kweli kabisa nakosa wa kumuelewa.. sio wanaounga mkono wala wapingaji. Maana sina nilichoelewa
This is very ridiculous statement..!

Unataka umsikilize nani ili uelewe? Wewe hujui kusoma na kuandika?

Yaani nyie ndio aina ya raia ambao mnadanganywa kutwa nzima na maCCM huku kazi yenu ikiwa ni kuitikia tu "ndiooo mzee" kwa kila kitu huku mkiwa wavivu wa kusoma nyaraka wenyewe..!

Ndugu yangu srinavas ilii umwelewe kila mtu, iwe ni kwa uongo au kwa ukweli vs mkataba wa bandari, basi chukua hatua ya kuusoma mkataba kwanza wewe mwenyewe, usiambiwe na mtu..!
 
Ila hili sakata la bandari kweli nimekosa cha kusema maana naona kila mtu anakuja na story yake tu. Kweli kabisa nakosa wa kumuelewa.. sio wanaounga mkono wala wapingaji. Maana sina nilichoelewa
Kaa kimya kama Dr.Joseph Kusheku,kwani naye aliamua kukaa kimya baada ya kuona mkanganyiko.Acha wanaoweza kuuchambua mkataba,waongee.
 
Wezi wa rasilimali za nchi ndiyo waahini maana wanahujumu uchumi na kudhoofisha maisha ya wananchi.
 
Akihojiwa na DW amesikika Dkt Slaa:

"Alipokamatwa akishtakiwa kwa uhaini alijiandaa kwa kifungo cha maisha na hata kunyongwa.".

View attachment 2727215

Ameendelea Slaa: "kutamka au kuwaondoa wasiowasikiliza wananchi hakuwezi kuwa uhaini",

Kwamba hilo ni kwa mujibu wa Katiba yenyewe.

Tusiogope waungwana kula na mtu sahani moja ni kwa mujibu wa katiba hii hii.
Bahati mbaya sana ni kuwa wao (viongozi) wanaitambua hiyo katiba kwenye sehemu inazowanufaisha wao, sehemu zisizowanufaisha hawaitambui katiba hiyo hiyo.

Kwa mfano: Kesi za maswala kama haya ya kikatiba hata yakipelekwa mahakamani yanatupiliwa mbali, kama ile kesi ya Bandari huko Mbeya.

Kwa hiyo; ukweli uliopo ni kwamba kuna serikali inayoendeshwa na wahalifu, wasioamini katika utawala wa sheria..

Katika hali ya namna hii, kuwaondoa hawa madarakani ni kutumia njia za nguvu ulizo nazo umma wa waTanzania.
 
Mdogo mdogo tutafika tu
 
Kwani wewe ni DPW au una vinasaba na huyu ndugu hapa?

View attachment 2727351
🥺🥺🥺🥺🤭🤭🤭🤭 Haa haa haa..!!!

Eti hawa waarabu wanalipwa trillion 24..!!????

Yaani wamepigwa shule ya kukaririshwa uongo wa propaganda za ki - CCM lakini masikini huyu hata hakufanya homework yake ya kukariri vyema..!

Na maskini shekhe huyu, hata mkataba wenyewe sijui hata kama ameuona achilia mbali kuusoma na kuelewa contents zake.!!

FaizaFoxy, Lord denning, MamaSamia2025 Sir John Roberts mnamsikia ndugu yenu hapa??

This is truly very sad..!
 
Back
Top Bottom