Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mkosa maadili atabwabwaja na kuhororoja sana tu.Akihojiwa na DW amesikika Dkt Slaa:
"Alipokamatwa akishtakiwa kwa uhaini alijiandaa kwa kifungo cha maisha na hata kunyongwa.".
View attachment 2727215
Ameendelea Slaa: "kutamka au kuwaondoa wasiowasikiliza wananchi hakuwezi kuwa uhaini",
Kwamba hilo ni kwa mujibu wa Katiba yenyewe.
Tusiogope waungwana kula na mtu sahani moja ni kwa mujibu wa katiba hii hii.
Walimfukuza alikuwa anawachapa anahonga.Hivi kanisa haliwezi kumpa kazi huko huko kwenye kusimamia hela za Vatican. Simpendi
HakikaWala usishangae ndugu. Ni hivyo hivyo kwenye mambo yote. Ndiyo maana huwepo vipanga na vilaza hata mashuleni. Mtu kushindwa kuelewa jambo, hakuna jipya hapo.
Inasikitisha sanaMkuu hutaki tu kuelewa. Na hilo unalolifanya la kusikiliza kila mtu bila ya wewe kuutafuta mkataba na ukausoma ili uwe na msimamo wako, ndio ujinga uliokubuhu. Watanzania ni wavivu sana kutafuta ukweli wa mambo.
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Wanaopinga wanatoa hoja zipi na wanaotete wanatoa hoja zipi, sasa huellewi nini!Ila hili sakata la bandari kweli nimekosa cha kusema maana naona kila mtu anakuja na story yake tu. Kweli kabisa nakosa wa kumuelewa.. sio wanaounga mkono wala wapingaji. Maana sina nilichoelewa
Wote wamepiga kimya kabisaKama hizo hela ziliingilia mdomoni basi zitatokea mahali popote palipo wazi!!!" Magufuli.
Waliojigeuza marketing officers wa kampuni la DP world na madalali wote waliokula hizo hela za kuhongwa ujumbe uwafikie.
Kama mlikuwa mnanunua magari na kuyaandika majina yenu mtakiona cha mtema kuni safari hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au umenifungia huko.. naona bado inagoma tu ku send, hii app ya JF siku hizi imekuwa pasua kichwa sana kuitumia.Noted with thanks
Labda kazi ya mitaroHivi kanisa haliwezi kumpa kazi huko huko kwenye kusimamia hela za Vatican. Simpendi
Ila hili sakata la bandari kweli nimekosa cha kusema maana naona kila mtu anakuja na story yake tu. Kweli kabisa nakosa wa kumuelewa.. sio wanaounga mkono wala wapingaji. Maana sina nilichoelewa
Au umenifungia huko.. naona bado inagoma tu ku send, hii app ya JF siku hizi imekuwa pasua kichwa sana kuitumia.
Hivi kanisa haliwezi kumpa kazi huko huko kwenye kusimamia hela za Vatican. Simpendi
Hivi unadhani kila mtu anao upeo wa kuusoma mkataba na kuuelewa? Ikiwa Dr. Tulia mwanasheria bado anakinzana na wanasheria wenzie kuhusu vifungu vya huo mkataba vipi mimi niliyesoma food & nutrition?Mkuu hutaki tu kuelewa. Na hilo unalolifanya la kusikiliza kila mtu bila ya wewe kuutafuta mkataba na ukausoma ili uwe na msimamo wako, ndio ujinga uliokubuhu. Watanzania ni wavivu sana kutafuta ukweli wa mambo.
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Niliwaandikia email kama siku nne zilizopita haikuwahi kujibiwa, nikaenda kule jukwaa la complaints nako nikawaandikia comment kwenye thread ya mwingine aliyekuwa na tatizo kama langu, nako kimya, no response, ndio maana naona bora niwe mtazamaji tu sehemu nyingine.
Niliwaandikia email kama siku nne zilizopita haikuwahi kujibiwa, nikaenda kule jukwaa la complaints nako nikawaandikia comment kwenye thread ya mwingine aliyekuwa na tatizo kama langu, nako kimya, no response, ndio maana naona bora niwe mtazamaji tu sehemu nyingine.