Dkt. Slaa: Kuwaondoa wasiowasikiliza Wananchi, siyo Uhaini

Dkt. Slaa: Kuwaondoa wasiowasikiliza Wananchi, siyo Uhaini

Ukiona huelewi sakata la bandari linaendaji na hauko kulia wala kushoto ni dhahiri wewe kilaza wa hali ya juu hata jf humu ufutwe hata uanachama unashindwa mtu mpaka sasa kupitia mkataba na vifungu tata vilivyomo kweli hii dunia ina mazuzu na ndio yake fata mkumbo ndiooo na kupiga piga meza kama mabunge yetu.
 
Wala usishangae ndugu. Ni hivyo hivyo kwenye mambo yote. Ndiyo maana huwepo vipanga na vilaza hata mashuleni. Mtu kushindwa kuelewa jambo, hakuna jipya hapo.
Hii issue ya bandari imebadilisha kabisa mtazamo wa watanzania. Sasa wameanza kujua kwamba hatma ya ncho hii iko mikononi mwao. Sio kwenye kikundi kidogo cha watu
Wswahili wanasema panapofuka moshi, basi ujue pana moto......
 
Back
Top Bottom