Dkt. Slaa kuwataja walio nyuma ya uuzwaji wa Bandari kama 2007 alivyowataja Mkapa na Kikwete kwenye ‘List of Shame’ Mwembeyanga

Mkuu, jielekeze kwenye mambo yenye infect kwa nchi, sio kuleta umbeaumbea na mambo binafsi ya mtu.
 
Pumba tupu
Hana moral authority huyo Mzee wenu ya kunyooshea wenzake vidole kama wamehongwa. Kifupi alikuwa anatafuta kiki ya kutokea baada ya kupoteza mvuto.
Sasa atuambie hela za kwenda Canada na Josephine alipata wapi? Na alifanya nini mpaka akapewa Ubalozi. Asipofanya tutaweka wazi kila kitu ndio muone alivyo mnafiki.
 
Kumbe Kikwete alikuwepo kwenye list of shame..!!
 

Dr Slaa 😎🤔
 
Hiyo zilipendwa we bwege Acha watu wapiganie nchi Yao Kwa faida ya wajukuu wako
 
Picha yake clip yake akiwa anatembea kitaa au na wewe umepigwa na taarifa za uongo?
Uthbitisho wa issue kama ya Balali ni beyond hizo clips unazozitaka ndio maana ninakuambia sio mimi tu na wengine wengi tuliojua igizo hilo na hata watekelezaji wake kamwe hawatokuwekea hizo clips it is done and dusted kwanini iko hivyo sababu uwepo au kupatikana mtu huyu ingehatarisha au kuhatarisha maslahi ya wengi ambao hawakufanya kwa nia njema na kwa maslahi mapana ya taifa.

Kwahiyo mkuu kwa ufupi ndio hivyo na kumbuka popote uwapo duniani marekani iko concerned sana na raia wake popote alipo kwa anachokifanya ili mradi tu iwe kwa maslahi yake. END
 
Sawa atatuambia. Kalale sasa mama
 
Dr Slaa ni heavyweight kwenye siasa za Bongo. Ni muda sahihi wa CHADEMA kumpigia magoti Dr Slaa na hawara wake Josephine Mushumbusi ili warudi kundini.
 
Tuambieni kwanza hela za kwenda kupigia misele Dubai na wasanii kibao mlipata wapi.
Msipo fanya hivyo tutaweka wazi
 
Hivi baada Dk. Slaa kuwataja hao kwenye List of Shame ikawaje? Maana ninachokumbuka kwamba baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 aloenda kufanya nao kazi eti akiwa kama Balozi! Ahahahahaha!!!
 
Hivi baada Dk. Slaa kuwataja hao kwenye List of Shame ikawaje? Maana ninachokumbuka kwamba baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 aloenda kufanya nao kazi eti akiwa kama Balozi! Ahahahahaha!!!
Hujui kilichowakuta Lowasa, Chenge na Rostam kwenye operation vua gamba.
 
Kwenye hii list mtu ambaye siamini hadi kesho ni fisadi ni Rutabanzibwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…