inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Awataje na waliokua za mamvi 2015 na za CCMAwataje vigogo watatu waliolamba usd 100m za Mwarabu wa DPW.
Watamrudisha tuDr Slaa ni heavyweight kwenye siasa za Bongo. Ni muda sahihi wa CHADEMA kumpigia magoti Dr Slaa na hawara wake Josephine Mushumbusi ili warudi kundini.
Awataje na waliokua za mamvi 2015 na za CCM
Huyo padri ni mzuri kufurahisha genge tu, atawaburudisha mkutanoni but nothing kitaendelea.Hujui kilichowakuta Lowasa, Chenge na Rostam kwenye operation vua gamba.
Ah kumbe ni hivyo tu...Lowasa aliendelea Waziri Mkuu? Hujui Rostam alijiuzulu ubunge,
Wanachekesha hawa...Lowassa baada ya hapo akawa Mgombea Urais kupiyia Chadema! Ahahahahaha!!! Rostam leo ndio anawalaza nje na DP World na Bandari ahahahahaha!!!
Kwahiyo wewe unategemea mwarabu akutunzie bandari yako kweli?Yaani seriously mnamtegemea huyo Padri awapiganie wajukuu zenu!
Serious!?
Ndo hamweleweki...Umetaka nikueleze kilichowakuta baada ya list of shame nimekuonyesha hayo maelezo mengine ya leo wako wapi hayanihusu.
No yeye si keshauziwa kama mnavyodai. Sasa amtunzie nani tenaKwahiyo wewe unategemea mwarabu akutunzie bandari yako kweli?
Hakuna kikomo cha kuipigania nchi yako hata iwe miaka 100 wapo Wazalendo watakaoendeleza.Ah kumbe ni hivyo tu...
Basi acha tu bandari iuzwe na watu watajiuzulu na kusepa na mihela yao. Si mtakuwa mmeridhika.
Then after 10yrs watoto wao wanarudi na nyie mtamwalika tena Padri aje kuwatajia another list of shame.
Lini Slaa kauziwa bandari, uwe unaandika vitu vinavyoleta sense basi ili tujadili.No yeye si keshauziwa kama mnavyodai. Sasa amtunzie nani tena
Mi niko na wewe ambaye seriously waamini eti Padri huyo atakutunzia....
Ahahahahaha! Mla, mla leo; mla jana kala nini! Sio maneno yangu ni ya wahenga! Ahahahahaha!!!Umetaka nikueleze kilichowakuta baada ya list of shame nimekuonyesha hayo maelezo mengine ya leo wako wapi hayanihusu.
Munapigania nini?Hakuna kikomo cha kuipigania nchi yako hata iwe miaka 100 wapo Wazalendo watakaoendeleza.
Ahahahahaha! Wanajikesha na kucheka wenyewe!Wanachekesha hawa...
No, I meant Mwarabu ndo kauziwaLini Slaa kauziwa bandari, uwe unaandika vitu vinavyoleta sense basi ili tujadili.
Mkutano hata ukifanyika Kigoma bado ni Tanzania.Munapigania nini?
Mbona mkataba huu ni halali umeshapitiwa na Bunge !
Hivi hii nchi ikoje ,
Kwanini Mkutano usifanyike Kiniondoni au masaki, badala yake temeke na Nbagala, Huko ndio mumeona Wachovu wengi wa Uswazi sio?
Target Kuwaamsha wachovu?
Kaamsheni wasomi na wakubwa kule kinondoni, Masaki na Mwenge!