Dkt. Slaa kuwataja walio nyuma ya uuzwaji wa Bandari kama 2007 alivyowataja Mkapa na Kikwete kwenye ‘List of Shame’ Mwembeyanga

Lowasa aliendelea Waziri Mkuu? Hujui Rostam alijiuzulu ubunge,
Ah kumbe ni hivyo tu...
Basi acha tu bandari iuzwe na watu watajiuzulu na kusepa na mihela yao. Si mtakuwa mmeridhika.
Then after 10yrs watoto wao wanarudi na nyie mtamwalika tena Padri aje kuwatajia another list of shame.
 
Kwahiyo wewe unategemea mwarabu akutunzie bandari yako kweli?
No yeye si keshauziwa kama mnavyodai. Sasa amtunzie nani tena

Mi niko na wewe ambaye seriously waamini eti Padri huyo atakutunzia....
 
Ah kumbe ni hivyo tu...
Basi acha tu bandari iuzwe na watu watajiuzulu na kusepa na mihela yao. Si mtakuwa mmeridhika.
Then after 10yrs watoto wao wanarudi na nyie mtamwalika tena Padri aje kuwatajia another list of shame.
Hakuna kikomo cha kuipigania nchi yako hata iwe miaka 100 wapo Wazalendo watakaoendeleza.
 
No yeye si keshauziwa kama mnavyodai. Sasa amtunzie nani tena

Mi niko na wewe ambaye seriously waamini eti Padri huyo atakutunzia....
Lini Slaa kauziwa bandari, uwe unaandika vitu vinavyoleta sense basi ili tujadili.
 
Umetaka nikueleze kilichowakuta baada ya list of shame nimekuonyesha hayo maelezo mengine ya leo wako wapi hayanihusu.
Ahahahahaha! Mla, mla leo; mla jana kala nini! Sio maneno yangu ni ya wahenga! Ahahahahaha!!!
 
Hakuna kikomo cha kuipigania nchi yako hata iwe miaka 100 wapo Wazalendo watakaoendeleza.
Munapigania nini?
Mbona mkataba huu ni halali umeshapitiwa na Bunge !
Hivi hii nchi ikoje ,
Kwanini Mkutano usifanyike Kiniondoni au masaki, badala yake temeke na Nbagala, Huko ndio mumeona Wachovu wengi wa Uswazi sio?
Target Kuwaamsha wachovu?
Kaamsheni wasomi na wakubwa kule kinondoni, Masaki na Mwenge!
 
Mkutano hata ukifanyika Kigoma bado ni Tanzania.
 
Back
Top Bottom