ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Baada ya RC Chalamila kumtisha Dr Slaa kwa "kutoa maoni ya kupotosha" kuhusu bandari, Dr Slaa nae arudisha mawe...
Dr Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani, hapaswi kuogopwa wala kututoa kwenye reli ya kupinga mkataba wa kuuzwa Bandari
Chalamila, haya mfate Slaa na ma defender ya RPC, kasema yuko nyumbani kwake ka chill hakuogopi, wewe mi mjinga fulani... au kula matapishi ya biti zako ulizochimba...
Mshaurini huyu Dr.Mihogo,uzee unakompeleka ni kubaya,sijui Kwa umri wake kama ana jipya..
Eti hamuogopi hivi hata Kwa ngumi za live huyo si atakaushwa fasta? Afanye kazi wanazofanya mwenzie kina Mzee Mpili.