Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ha ha ha !Baada ya RC Chalamila kumtisha Dkt. Slaa kwa "kutoa maoni ya kupotosha" kuhusu bandari, Dkt. Slaa nae arudisha mawe...
Dkt. Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani, hapaswi kuogopwa wala kututoa kwenye reli ya kupinga mkataba wa kuuzwa Bandari
View attachment 2670137
Chalamila, haya mfate Slaa na ma defender ya RPC, kasema yuko nyumbani kwake ka chill hakuogopi, wewe mi mjinga fulani... au kula matapishi ya biti zako ulizochimba...
===
Dr Slaa amesema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hajui sheria wala haki zake, na amesema hatishiki kwa maneno aliyoyasema kwa kuwa anajua haki na sheria za nchi
Pimbi kanunua kesi