Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

Huyu mzee sasa anachanganyikiwa au anatafuta kiki kwa nguvu.

Hivi yule demu wake aliyemgonga Mwanza mpaka akamvinja mkono bado anae, mashumbusi sijuwi, sikumbuki vizuri jina lake.
Siyo kuchanganyikiwa dadaake yani hata uwezo waka wa kufikiri ushaeksipaya.
 
Baada ya RC Chalamila kumtisha Dkt. Slaa kwa "kutoa maoni ya kupotosha" kuhusu bandari, Dkt. Slaa nae arudisha mawe...

Dkt. Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani, hapaswi kuogopwa wala kututoa kwenye reli ya kupinga mkataba wa kuuzwa Bandari





Chalamila, haya mfate Slaa na ma defender ya RPC, kasema yuko nyumbani kwake ka chill hakuogopi, wewe mi mjinga fulani... au kula matapishi ya biti zako ulizochimba...

Ni kweli,..huyu jamaa kama hamnazo saa nyingine.
 
Mshaurini huyu Dr.Mihogo,uzee unakompeleka ni kubaya,sijui Kwa umri wake kama ana jipya..

Eti hamuogopi hivi hata Kwa ngumi za live huyo si atakaushwa fasta? Afanye kazi wanazofanya mwenzie kina Mzee Mpili.
Zaidi ya kupiga simu na kupiga viboko wale watoto wa shule, Chalamila amewahi kupiga nini kingine?
 
Unayetafuta kiki ni wewe, au yule mjinga mwenzako aliyemtisha Dr. Slaa.

Demu wa Dr. Slaa wa nini? au unataka ile nafasi? kumbe bibi bado una nguvu!.
Huyu bibi ni wa kiswahili.
Anapenda kupelekewa moto na kila "me".
Hapa Mkuranga vijana wa bodaboda wanajibondea tuu.
 
Back
Top Bottom