Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ana mawazo mazuri, ila historia inamuonyesha ni mtu asiyeaminika; inawezekana akipewa ulaji, haya yote anayoyaongea atayakana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Slaa hajawahi kuyumba Ila wew ndo hujajua Tu dunia ilipozunguka wew ulihama kwenye point ulipokuwa umesimama hukukua yeye alibaki pale paleAna mawazo mazuri, ila historia inamuonyesha ni mtu asiyeaminika; inawezekana akipewa ulaji, haya yote anayoyaongea atayakana.
Alitakiwa aukatae ule uongozi aliopewa, hiyo ingempa credit kubwa sanaDr Slaa hajawahi kuyumba Ila wew ndo hujajua Tu dunia ilipozunguka wew ulihama kwenye point ulipokuwa umesimama hukukua yeye alibaki pale pale
Huyu Dr Slaa nilimshauri toka kwanza aige mfano wa kina mzee Malechela wameshastaafu na wamekaa kimya ila kama kuna jambo ndio utawasikia wakiongea tena kwa hekima kubwa, narudia tena Dr Slaa achana na vijana watakuvunjia heshima yako na pengine wanakujua kuliko unavyo jijua wewe mwisho wamesha anza kutoa aibu zako ambacho sio kizuri kwako.Mzee Slaa bwana!!
ila haipendezi kwa mzee kutoa matamshi ya dharau na matusi.
uzee ni heshima na busara sio kutoa lugha chafu.
VIONGOZI WAJINGA WAJINGA LAZIMA IFIKE MAHALI TUWAAMBIE WAJUE KWAMBA NI WAJINGA.Kuwa na heshima sio kumheshimu mjinga, ni kumwambia ukweli.
Waache wengine ambao maisha yao na familia zao ni bora kupita maslahi mapana ya nchi, waendelee kuogopa kusema ukweli hata kama nchi inapigwa mnadaVIONGOZI WAJINGA WAJINGA LAZIMA IFIKE MAHALI TUWAAMBIE WAJUE KWAMBA NI WAJINGA.
TUSIENDELEE KUWAPAKA MAFUTA KWA MIGONGO YA CHUPA.
TUMECHOKA KUONGOZWA NA VIONGOZI WA HOVYO; WAJINGA, MBUMBUMBU N.K
MZALENDO WA DHATI KWA NCHI HII HAWEZI KUSHADADIA MKATABA MBOVU NA WENYE MASHARTI YA KIPUMBAVU PUMBAVU KAMA WA DPW..
TUMESHACHOKA SISI.
HONGERA SANA DK. SLAA KWA KUSEMA UKWELI.
Ameshaonywa huyu Mzee Slaa. Hawa wanasiasa vijana hawachelewi kumchafua na akaanza kuchezea virungu wakati kichwa kimeshajaa mvi.Baada ya RC Chalamila kumtisha Dkt. Slaa kwa "kutoa maoni ya kupotosha" kuhusu bandari, Dkt. Slaa nae arudisha mawe...
Dkt. Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani, hapaswi kuogopwa wala kututoa kwenye reli ya kupinga mkataba wa kuuzwa Bandari
View attachment 2670137
Chalamila, haya mfate Slaa na ma defender ya RPC, kasema yuko nyumbani kwake ka chill hakuogopi, wewe mi mjinga fulani... au kula matapishi ya biti zako ulizochimba...
===
Dr Slaa amesema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hajui sheria wala haki zake, na amesema hatishiki kwa maneno aliyoyasema kwa kuwa anajua haki na sheria za nchi
Nje ya mada!Huyu mzee sasa anachanganyikiwa au anatafuta kiki kwa nguvu.
Hivi yule demu wake aliyemgonga Mwanza mpaka akamvinja mkono bado anae, mashumbusi sijuwi, sikumbuki vizuri jina lake.
We naye kichwa cha panzAlitakiwa aukatae ule uongozi aliopewa, hiyo ingempa credit kubwa sana
Atachezea virungu?Ameshaonywa huyu Mzee Slaa. Hawa wanasiasa vijana hawachelewi kumchafua na akaanza kuchezea virungu wakati kichwa kimeshajaa mvi.
Kwa mfumo tulio nao ukishakuwa mkuu wa mkoa tayari wewe ni mwanasiasa wa ndani kabisa.Wakuu wa mikoa wangeachana na huu upumbavu wa kujiingiza kwenye siasa