Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

Mshaurini huyu Dr.Mihogo,uzee unakompeleka ni kubaya,sijui Kwa umri wake kama ana jipya..

Eti hamuogopi hivi hata Kwa ngumi za live huyo si atakaushwa fasta? Afanye kazi wanazofanya mwenzie kina Mzee Mpili.
 
Huyuu mzeee baaada ya kuacha KAZI ya mungu, Kwa Sasa anahitaji uangalizi wa Hali ya juuuu
Hayo ya Dr Slaa na Mungu wake hayatuhusu, sisi tunapinga mkataba, na wala Slaa hahitaji uangalizi wa chochote, huwezi kum tarnish.

Going as far back as the days of Abdallah Fundikira, Kassanga Tumbo, Eli Anangisye, ukitaja watu watano waliotikisa dola katika historia ya upinzani na mawazo mbadala ya nchi hii Dr Slaa yumo.

Chalamila ana jeshi la polisi kanda maalum, Kikwete na Magufuli walikuwa na Jeshi la Wananchi na Usalama wa Taifa, wakashindwa fupa la Slaa, Chalamila analiwezaje?
 
Mshaurini huyu Dr.Mihogo,uzee unakompeleka ni kubaya,sijui Kwa umri wake kama ana jipya..

Eti hamuogopi hivi hata Kwa ngumi za live huyo si atakaushwa fasta? Afanye kazi wanazofanya mwenzie kina Mzee Mpili.
Wakisimama mtu mbili ulingoni RC anavhapwa ko hamna Nguvu mle ni Mkangafu mtupu😄😄

Slaa ni sampuli ya Nyaucho usimchukulie poa!
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Kazi imeanza!!
 
Huyu mzee anazeeka vibaya kwa kuanza kutukana viongozi wa kiserikali.
Namuomba RC Albert ampuuze huyu mkimbia upadre kwa maslahi binafsi.
 
Unayetafuta kiki ni wewe, au yule mjinga mwenzako aliyemtisha Dr. Slaa.

Demu wa Dr. Slaa wa nini? au unataka ile nafasi? kumbe bibi bado una nguvu!.
Yule ndiye alienda nae Israel mwaka alioweka post namba 1.

Akitukanwa kayataka mwenyewe. huyo anafikiri akipiga kelele atanyamazishwa kwa pesa. Hiyo zamani ilikuwa wakati wa mwendazake siyo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…