Dkt. Slaa: Nchi yetu inaongozwa kishamba, pamoja na IGA sasa tutadai pia Katiba Mpya ya wananchi

Samia amekuja kuingamiza Tanganyika
 
Sijapata kuona watu waongo kama hawa, eti mkataba umeingiwa kati ya nchi na kampuni. Khaa.

Namsikiliza mdudu anavyoongea na kutukana hovyo.

hata ikiwa hivyo, kwani kuna sheria ipi inayoikataza nchi kuingia mkataba na kampuni?

Hivi wana akili sawa hawa?
 
Mdude ni mtu mwingine aisee
 
Mdudu achukuliwe akajibu wapi mahakama imesema "huu mkataba ni mbovu", hapa sasa kachokoza mahakimu.
 
Shekhe Mselem: Nyuma ya DP world kuna Beberu

Labda ndio hiyo kampuni🐼
 

Yaani wanatoa siku 30 kwa serikali!
Hahaha
 
Etiu "maandamano yatashirikisha dini zote".

Wewe mdudu na hao wanaokuweka mjini, hamna cha kutueleza.

Huyu poyoyo haelewe hata namna ya kuongea, kweli sikio la kufa halisikii dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…