Dkt. Slaa: Nchi yetu inaongozwa kishamba, pamoja na IGA sasa tutadai pia Katiba Mpya ya wananchi

Dkt. Slaa: Nchi yetu inaongozwa kishamba, pamoja na IGA sasa tutadai pia Katiba Mpya ya wananchi

Etiu "maandamano yatashirikisha dini zote".

Wewe mdudu na hao wanaokuweka mjini, hamna cha kutueleza.

Huyu poyoyo haelewe hata namna ya kuongea, kweli sikio la kufa halisikii dawa.
Mbona inakuuma? Unafikiri waislamu wote ni hayawani kama nyie? Mjinga sana wewe!
 
Etiu "maandamano yatashirikisha dini zote".

Wewe mdudu na hao wanaokuweka mjini, hamna cha kutueleza.

Huyu poyoyo haelewe hata namna ya kuongea, kweli sikio la kufa halisikii dawa.
Dini zote!
Kwani ni maandamano ya kidini?
 
Kasema dini zote haafu kasema ataongea na makanisa yote.

sasa sifahamu kama kanisani kuna dini.
Ataongea na makanisa huko sawa.
Mwambie aingie msikitini bila kutawadha aone watakachomfanya.
Yaani watu wakunje kanzu kumfuata mdude sijui !
Hii itakuwa ajabu.
 
Mbatia anaongelea ukatoliki "sauti ya Mungu".

Namuuliza Mungu yupi mmoja wapo anaemuongelea kama mkatoliki?

Mungu baba? Mungu mwana, Mungu roho mtakatifu au Mungu mama?
 
Kwa alichokifanya kwenye ule uchaguzi huyo Slaa alaaniwe yeye na kizazi chake
 
Ataongea na makanisa huko sawa.
Mwambie aingie msikitini bila kutawadha aone watakachomfanya.
Yaani watu wakunje kanzu kumfuata mdude sijui !
Hii itakuwa ajabu.
Msikiti usiuogope ndiyo kimbilio la watu wote. hakatazwi mtu kuingia msikitini.

Uliona nani kakataliwa msikitini?
 
Huyo Padri silaa ni Tapeli tu huyo si wa kumuanini anatafuta tu hapo kwa ajili ya tumbo lake
na huyo Mbatia ameshakuwa tapeli lakisiasa wanaojua wanajua kafukuzwa NCCR anatafuta pakujishikiza ! eti mama Tanzania !! hahahaaaa
 
Hili tunamkabidhi Mungu upande wa kushughulika na yaliyo nje ya mipaka ya binadamu, lakini yale ya kisheria hatumuachii yeye, tutakabiliana nao
 
Samia anataka kuiharibu nchi hii. Ni kichwa ngumu kweli kweli.

Mm naunga mkono maandamano na nitashiriki
 
Mbatiaw asiambatane Kwa karibu na manabii wetu, ni angalizo tu.
 
Eti sasa wanaongelea "katiba" hivi hawaelewi kuwa mama kishatangaza na kishatowa maagizo katiba mpya ijadiliwe?

Hawa watu ni wajinga sana sijawahi kuona.
 
Hao wawili ni wasaliti. Wawe makini na Mbatia na Dr Slaa.
 
Naunga mkono maandamano.

Samia asipoondoa mkataba huu tutakwenda Ikulu dar es salaam kuimba tenzi za rohoni.

Asituchezeee
 
Back
Top Bottom