Dkt. Slaa: Nchi yetu inaongozwa kishamba, pamoja na IGA sasa tutadai pia Katiba Mpya ya wananchi

Nccr inarejesha makali yake ile asilia siyo hii ya Selasini na mrs Makene ft Kitambi
ofcourse, Dr slaa amekataliwa na chadema,ndio maana atajiunga na NCCR, na watakijenga chama sana. na hapo ambaye sio msaliti atakuwa ni mwabukusi tu, slaa na mbatia hao ni ccm waliotemwa tu.
 
Najuwaje nimtaje mimi? naona kavaa nguo ya pinki, mwanamme mzima kwenda kuvikwa nguo ya pinki halafu aitwe "baba". Khaaa!
Askofu anavaa dhambarau naona upo too obsessed na maaskofu... meza au tema hao ndo elite group pure hata duniani.
 
Umeulizwa swali, jibu, wacha porojo.


Naona Mbatia anawapinga kistaarabu wenzake waliomkaribisha.
Wee nae muda mwingine kichwa chako sijui huwa kinayumbaje..
Narudia tena soma comments zangu UELEWA KWANZA.
Unauliza swali la kijinga.
Unasema msikitini ni kwa watu wote! Nitajia mtu kama mdude alieenda msikitini kuwahamasisha watu wakandamane na kweli wakaenda kuandamana?
 
Ni kweli Nchi zinaingia mikataba na makampuni mengi kimsingi hakuna kampuni inayoingia nchini bila kuingia mkataba na Nchi.
Nikuulize kwa uelewa wako sasa.
Je makampuni hayo yalyoingia mikataba na Nchi yalikuwa na IGA iliyopelekwa bungeni???
 
Baada ya kuwasikiliza na kuwasoma wote aliyebadili tone ya maudhui na sauti ni Mwambukisi ndio maana analia Lia wewe aitwe Wakazi gumze.

Slaa anaongea Kwa hasira Kwa sababu amepokwa Immune ya Ubalozi.

Mdude ni bangi tuu hakuna mwenye akili timamu atatulia maanani mbumbumbu.

Mbatia naona anadandia mtumbwi wa vibwengo Ili nae Aanze ku trend baada ya kupoteza kule nccr.
 
Ni kweli Nchi zinaingia mikataba na makampuni mengi kimsingi hakuna kampuni inayoingia nchini bila kuingia mkataba na Nchi.
Nikuulize kwa uelewa wako sasa.
Je makampuni hayo yalyoingia mikataba na Nchi yalikuwa na IGA iliyopelekwa bungeni???
iGA kupelekwa bungeni ni takwa la sheria za Tanzania amabayo ilikuwa haifatwi.
 
Safi sana Mwabukusi,Slaa,Mdude na Mbatia.

Hawa Madalali/wahuni/majambazi/wezi wa rasilimali ni lazima waambiwe Ukweli ,hawa DPW ni wahuni tu wa humu ndani wanataka kuiba mali za TZ ndiyo maana wanaweka masharti magumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…