Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Tuwekee clip juu ya hii to tuhuma.
 
KUNA WATU BILA KUITAJA CHADEMA WANAWASHWA MWILI MZIMA ndio huyu mzee
 
Sio CHADEMA Sio Slaa naona wote wanatapatapa tu!
 
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
Ndio nyinyi Mama anawatafuta nani aliwapeleka Ccm
Mzee SLAA rudia Upadre ili KUPUNGUZA Dhambi
 
Dr. Slaa ni Moja ya watu wanaochukizwa na wananchi kumtetea Mbowe: amedai anakwazika akisikia watu wanasema Mbowe Siyo Gaidi huku akitaka mahakama iachwe ifanye kazi yake...
Spent force! Umerudi kimya kimya, unakaa nyumba uliyopewa na CHADEMA, na bado unaongea huu utumbo! Huna aibu!
 
Ni muhimu wananchi waeleweshwe kuwa waheshimu mahakama kwa kuwa uamuzi wake hufikiwa kwa kufuata ushahidi usiokuwa na shaka yoyote, ukweli, haki na sheria, vikiambatana na uwazi.

Bila kutoa maelezo haya, itaonekana kama vile maamuzi ya mahakama ni kama kamari, hivyo watu kukosa kuheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…