Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Pia usisahau kuwa, Alfred Lwekatare wakati akiwa Chadema aliwahi kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi (eti alikuwa anapanga mipango ya kumuua Zito, kuteka watu na kutesa), wakati huo Dr. Slaa akiwa katibu mkuu CHADEMA alikuwa akijitokeza hadharani na kuuwambia umma kuwa "Lwekatare sio gaidi, Lwekatare sio gaidi...."

Sasa nini kimebadilika kwa Dr. Slaa na leo aje na hoja za kusema tusiseme Mbowe sio gaidi?
Tuwekee clip juu ya hii to tuhuma.
 
Hapa kila kitu amekiweka wazi kuwa wanaChadema tuwe watu wa kufuata misingi ya kweli na kuzingatia sheria.

Hakuna chombo cha kumtia mtu hatiani zaidi ya mahakama. Tuache ngonjera na mbwembe zisizo na mashiko.

Tuheshimu mahakama. Tuache mahashtag na matweets yasiyo na maana.
KUNA WATU BILA KUITAJA CHADEMA WANAWASHWA MWILI MZIMA ndio huyu mzee
 
Sio CHADEMA Sio Slaa naona wote wanatapatapa tu!
 
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
Ndio nyinyi Mama anawatafuta nani aliwapeleka Ccm
Mzee SLAA rudia Upadre ili KUPUNGUZA Dhambi
 
Ni muhimu wananchi waeleweshwe kuwa waheshimu mahakama kwa kuwa uamuzi wake hufikiwa kwa kufuata ushahidi usiokuwa na shaka yoyote, ukweli, haki na sheria, vikiambatana na uwazi.

Bila kutoa maelezo haya, itaonekana kama vile maamuzi ya mahakama ni kama kamari, hivyo watu kukosa kuheshimu.
 
Back
Top Bottom