Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kukuelewa wewe na Dk?Makamanda hawawezi kutuelewa ila huo ndio ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukuelewa wewe na Dk?Makamanda hawawezi kutuelewa ila huo ndio ukweli.
Huyu ni senior member wa Lumumba huku 7. Anakuwaga na kaunafuu ukilinganisha na WakudadavuwaHuyo uliyemtag anajua nini cha maana?
Sidhani kama ni kweliHuyu ni senior member wa Lumumba huku 7. Anakuwaga na kaunafuu ukilinganisha na Wakudadavuwa
Alikuwa hana mchumba wakati huoMbona tulimuamini alipotoa list of shame?
Tuwekee clip juu ya hii to tuhuma.Pia usisahau kuwa, Alfred Lwekatare wakati akiwa Chadema aliwahi kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi (eti alikuwa anapanga mipango ya kumuua Zito, kuteka watu na kutesa), wakati huo Dr. Slaa akiwa katibu mkuu CHADEMA alikuwa akijitokeza hadharani na kuuwambia umma kuwa "Lwekatare sio gaidi, Lwekatare sio gaidi...."
Sasa nini kimebadilika kwa Dr. Slaa na leo aje na hoja za kusema tusiseme Mbowe sio gaidi?
KUNA WATU BILA KUITAJA CHADEMA WANAWASHWA MWILI MZIMA ndio huyu mzeeHapa kila kitu amekiweka wazi kuwa wanaChadema tuwe watu wa kufuata misingi ya kweli na kuzingatia sheria.
Hakuna chombo cha kumtia mtu hatiani zaidi ya mahakama. Tuache ngonjera na mbwembe zisizo na mashiko.
Tuheshimu mahakama. Tuache mahashtag na matweets yasiyo na maana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwendazake yupo wapiMakamanda hawawezi kutuelewa ila huo ndio ukweli.
Ni kweli kama Mahakama zetu zingekuwa huru.... Siyo hizi Mahakama za majaji wa michongo.Hapa kila kitu amekiweka wazi kuwa wanaChadema tuwe watu wa kufuata misingi ya kweli na kuzingatia sheria....
Just Google utapata clip za kutosha .....usitusumbue hapa .....wewe tafuta Slaa na Lwakatare wayback 2013 ......Tuwekee clip juu ya hii to tuhuma.
Ndio nyinyi Mama anawatafuta nani aliwapeleka CcmAliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
Thibitisha kauli yako bana.Just Google utapata clip za kutosha .....usitusumbue hapa .....wewe tafuta Slaa na Lwakatare wayback 2013 ......
Dada wewe ni mtoto wa juzi tu, huwezi kuelewa Slaa ni nani hapo ufipaDr. Slaa huyu huyu aliyesaliti kiapo cha Mungu wake au mwingine?? Kama ndiye, nani atamsikiliza na kuamini kauli zake??
Tafadhali usiende mbaliMbona Mbowe alisaliti kiapo cha ndoa yake na kuzaa nje ya ndoa na bado unamwamini?
Spent force! Umerudi kimya kimya, unakaa nyumba uliyopewa na CHADEMA, na bado unaongea huu utumbo! Huna aibu!Dr. Slaa ni Moja ya watu wanaochukizwa na wananchi kumtetea Mbowe: amedai anakwazika akisikia watu wanasema Mbowe Siyo Gaidi huku akitaka mahakama iachwe ifanye kazi yake...
Sijibishani na joined 2020......Nina rekodi hapa jukwaani , just go and read my contributions !!!!! When JF was JF ! It's going to get their again !Thibitisha kauli yako bana.
Kumsaliti Mungu si sawa na kumsaliti Mungu (muumba)Mbona Mbowe alisaliti kiapo cha ndoa yake na kuzaa nje ya ndoa na bado unamwamini?
Slaa si chochoteDada wewe ni mtoto wa juzi tu, huwezi kuelewa Slaa ni nani hapo ufipa
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwa nini usikae kimya kuficha upuuzi wako?Sijibishani na joined 2020......Nina rekodi hapa jukwaani , just go and read my contributions !!!!! When JF was JF ! It's going to get their again !