Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr. Slaa anajitambua sana ndio maana alimkimbia Mbowe na genge lake la kihalifu.
Dr. Slaa ana siri nyingi sana za huyu gaidi.
CHADEMA ilipoteza muelekeo uyu mzee alipokiacha chama Sasa wamebakia wahuni wahuni na program zao cha upato wa changia sijui mawakili, sijui makamanda yani janja janja tu na matusi
Hivi aliyepoteza muelekeo ni huyo Dr wenu wamihogo unaanzaje kusema CDM imepoteza muelekeo ile hali mnatumia gharama kubwa kila kukicha kuwadhibiti? Kifupi hiki chama kinawaumiza sana vichwa 😂😂😂😂✌️✌️✌️CHADEMA ilipoteza muelekeo uyu mzee alipokiacha chama Sasa wamebakia wahuni wahuni na program zao cha upato wa changia sijui mawakili, sijui makamanda yani janja janja tu na matusi
Hata heshima kidogo niliyobakiza nimeifuta.Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki...
Dr. Slaa alipoteza mwelekeo pale alivyopitisho mlango wa nyuma wa Hotel kwani hakuangali umri wake kwa mchezo alioucheza.CHADEMA ilipoteza muelekeo uyu mzee alipokiacha chama Sasa wamebakia wahuni wahuni na program zao cha upato wa changia sijui mawakili, sijui makamanda yani janja janja tu na matusi
Ndo nani uyu. mbona kama namjua hemu nikumbusheni
Huyu nae !!😆😆😆😆Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.
Huyu padri wa kikatoliki ovyooooo!Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.
Ni kweli tupu, angalia Slaa kumgeuka Mbowe ni haki amemsaidia mangapi?Mkuu sikujua kwamba wewe nawe ni mtu mwenye mtazamo huu...
Na wewe ni nani mpaka useme MWAMBA MBOWE NI GAIDI. hebu katafune miogo yako na changudoa wakoAliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.
Source: MwanaHalisi
na
Kila mtu aliyetoka CDM mlisema ana siri nyingi sana za chama. Lijualikali alitangaza utayari wake wa kutoa ushahidi kuhusu maovu ya CDM na Mwenyekiti wake. Bado tunasubiri. Mnachosha sana.Dr. Slaa anajitambua sana ndio maana alimkimbia Mbowe na genge lake la kihalifu.
Dr. Slaa ana siri nyingi sana za huyu gaidi.
Ngoja nami nimuudhi kidgo tu.Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.
“Katika masuala yaliyoko mahakamani ninaona kwanza kuna sura inatumika, kwenda kule Mahakamani kama sehemu ya siasa kitu ambacho mimi