Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Mzee kaongea kisheria zaidi which is anaweza kua sahihi sana, kwa kile tulicho kisikia wakati washtaki wake wame present ushahidi wao na maamuzi ya JAJI,

Hivi kuna mtu mwenye akili timamu kabisa anaweza kusema pasipo shaka yeyote, au let me put this way, ndani ya nafsi yako (remember kuna vitu huwezi kuvidanganya, nafsi yako, Mungu na shetani) kwamba kilicho tokea mahakamani kwa kile tulicho kisikia, kukisoma na kukiona (Dr. Slaa nina amini moja kati ya hayo kaona) unaweza kuamini kwamba Mbowe ni Gaidi?

Not through his history but through of what has been presented in the court of law!!!? Nadhani ni either ulitazame suala lile kwa jicho la ki-CCM au la KIPUMBAVU tu ndio unaweza kusema Mbowe anayo kesi ya kujibu, achilia mbali kua GAIDI. Nje ya macho hayo, HAKUNA!

Tusidanganyane
 
CHADEMA ilipoteza muelekeo uyu mzee alipokiacha chama Sasa wamebakia wahuni wahuni na program zao cha upato wa changia sijui mawakili, sijui makamanda yani janja janja tu na matusi

Kama kumbukumbu zangu Ni nzuri, Dr Slaa ndio aliyepoteza mwelekeo. Kaacha ndoa na watoto na pia kukimbiwa na kimada huku akienda Canada kubeba boksi. Kingine Dr Slaa hata Sasa akiitisha mkutano watu hawatajaa Kama zamani.
 
CHADEMA ilipoteza muelekeo uyu mzee alipokiacha chama Sasa wamebakia wahuni wahuni na program zao cha upato wa changia sijui mawakili, sijui makamanda yani janja janja tu na matusi
Hivi aliyepoteza muelekeo ni huyo Dr wenu wamihogo unaanzaje kusema CDM imepoteza muelekeo ile hali mnatumia gharama kubwa kila kukicha kuwadhibiti? Kifupi hiki chama kinawaumiza sana vichwa 😂😂😂😂✌️✌️✌️
 
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki...
Hata heshima kidogo niliyobakiza nimeifuta.
 
CHADEMA ilipoteza muelekeo uyu mzee alipokiacha chama Sasa wamebakia wahuni wahuni na program zao cha upato wa changia sijui mawakili, sijui makamanda yani janja janja tu na matusi
Dr. Slaa alipoteza mwelekeo pale alivyopitisho mlango wa nyuma wa Hotel kwani hakuangali umri wake kwa mchezo alioucheza.

Japo ni mwaccm mwenzangu lakini kwa lile tukio sio kabisa ila ninaamini kuna wakati huwa akikaa mahali huwa linamnyimaga utulivu kwani hakuamini kama ingevuja lakini ndo siasa zetu zisizokuwa na mwisho mzuri ktk jamii
 
Ndo nani uyu. mbona kama namjua hemu nikumbusheni

Ni mzee mmoja hivi ambaye zamani alikuwa ni Padiri wa Kanisa Katoliki kama mimi, kabla ya kuasi na kuamua kuoa! Baadaye aliingia kwenye siasa za ushindani. Akapata umaarufu wa kutosha tu.

Alikuja kuharibu pale alipokuja kumpata kimada (mke wa mtu)! Kuanzia hapo ndipo alipoanza kupelekeshwa kama gari bovu na huyo mwanamke.

Mwaka 2015 wakati anawasaliti wenzake wa ukawa, alijisifia eti alikuwa anashindia mihogo! Kisa cha kuja kufahamika zaidi baadaye kwa jina la Dr. Mihogo.
 
Tangu lini mahakama ikawa chombo cha haki? Si mahakama hizo ziliwahukumu Yesu Kristo kifo na Nelson Mandela Kifungo cha maisha?

Umesahau vipi kuhusu Nyerere naye alifungwa zama zake? Acha wstu waseme yeye ale tu hela za usaliti kama Yuda Iskariote.

Mbowe siyo Gaidi!!.
 
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.

Huyu nae !!😆😆😆😆
 
Huyu padri wa kikatoliki ovyooooo!
 
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.

Source: MwanaHalisi

Na wewe ni nani mpaka useme MWAMBA MBOWE NI GAIDI. hebu katafune miogo yako na changudoa wako
na
 
Kwahiyo anataka wananchi waseme " Mbowe gaidi" haya maneno ndiyo anafurahishwanayo! Yeye kwenye chama alitoka kwa mlango wa nyuma akae atulie kama ulaji ndo ushaupata hivo
 
Dr. Slaa anajitambua sana ndio maana alimkimbia Mbowe na genge lake la kihalifu.

Dr. Slaa ana siri nyingi sana za huyu gaidi.
Kila mtu aliyetoka CDM mlisema ana siri nyingi sana za chama. Lijualikali alitangaza utayari wake wa kutoa ushahidi kuhusu maovu ya CDM na Mwenyekiti wake. Bado tunasubiri. Mnachosha sana.

Amandla...
 
#Hashtag za Mbowe siyo gaidi? Mbowe angekuwa mtu wa haki angeruhusu Chacha Wangwe agombee mwaka 2008/09! Mbowe añgekuwa mtu wa haki asingemfukuza Zitto Kabwe alipotaka kugombea Uenyekiti mwaka 2010.

Mbowe añgekuwa mtu wa haki asingemnyang'anya Dr Slaa haki ya kugombea uRais wa Tanzania mwaka 2015 na kumpa Lowassa baada ya Lowassa kumpa Tsh 10 Billionm
 
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.

“Katika masuala yaliyoko mahakamani ninaona kwanza kuna sura inatumika, kwenda kule Mahakamani kama sehemu ya siasa kitu ambacho mimi
Ngoja nami nimuudhi kidgo tu.
MboweSio Gaidi
 
Back
Top Bottom