Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Amestaafu huyoKwani kaondolewa ubalozi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amestaafu huyoKwani kaondolewa ubalozi?
Ni vzr ukaainisha hayo matusi, pia unapomsapoti slaa ni mtazamo wako hupasw kupingwa, but kisheria ni guilty until proven innocent au ni innocent until proven guilty?CHADEMA ilipoteza muelekeo uyu mzee alipokiacha chama Sasa wamebakia wahuni wahuni na program zao cha upato wa changia sijui mawakili, sijui makamanda yani janja janja tu na matusi
Well! Je anavyopinga watu kusema Mbowe sio gaidi yupo sahihi? Je kisheria ni guilty until proven innocent? Au ni Innocent until proven guilty?Dr. Slaa anajitambua sana ndio maana alimkimbia Mbowe na genge lake la kihalifu.
Dr. Slaa ana siri nyingi sana za huyu gaidi.
Nasikia kakimbiwa na yule mhaya wake.Nongwa ya 2015 inamtesa sn na Mbowe hajawahi kumtukana wala kumsema vibaya
Mbali na kuwa wengi wanavielimu vya vyuo, ila vichwani ni hamnazo tuu,
Unamnunua na kumtusi mtu anaposimama kwenye ukweli? Ujinga tupu
Wimbo wa Mbowe si Gaidi, Nani imempa uahueni nafsini mwake?
Ni miezi sasa huo wimbo unaimbwa, mbona bado yuko lupango bwana Mbowe?
He is just piece of shit and a swamp of piss.The old man is struggling for a living. He is already a tasteless piece of a salt. "Anatia huruma".
Swala zuri sanaMzee vipi huyu kwaiyo wale wanaosema Mbowe ni gaidi haudhiki nao?
Hiyo iko wazi mbona !Chini ya kapeti nikwamba mke wake ameolewa na jamaa mwingine huko majuu. Dk Slaa amerudi kimya kimya anakaa kwenye nyumba aliyopewa na Chadema Mbweni akiwa katibu mkuu
Mkuu ni kweli kwamba mke wa Slaa kaolewa na mtu mwingine ?Alafu Mbowe akishambuliwa personally mnaanza kurukaruka! Hivi mnafikiri watu hawajui mauchafu ya kimaadili huko kwenye vyama venu? Hebu tafuta ugali achana na maisha ya watu.
Kiapo chake na Mungu kinahusika vipi hapa?Dr. Slaa huyu huyu aliyesaliti kiapo cha Mungu wake au mwingine??
Bado ataaminika Dr. Slaa wakati alimsaliti hata Mungu wake?Kiapo chake na Mungu kinahusika vipi hapa?
Mbona tulimuamini alipotoa list of shame?Bado ataaminika Dr. Slaa wakati alimsaliti hata Mungu wake?
Dkt Slaa ameanza utapeli wake tena baada ya kustaafishwa ubalozi kinyakimya, this time anavizia teuzi gani tena? Uenyekiti wa Bodi au Ukuu wa Chuo? johnthebaptist tusaidie kutegua hii kitendawili ya Dkt mihogo.Hapa kila kitu amekiweka wazi kuw wanaChadema tuwe watu wa kufuata misingi ya kweli na kuzingatia sheria...
Chini ya kapeti nikwamba mke wake ameolewa na jamaa mwingine huko majuu. Dk Slaa amerudi kimya kimya anakaa kwenye nyumba aliyopewa na Chadema Mbweni akiwa katibu mkuu
Huyo uliyemtag anajua nini cha maana?Dkt Slaa ameanza utapeli wake tena baada ya kustaafishwa ubalozi kinyakimya, this time anavizia teuzi gani tena? Uenyekiti wa Bodi au Ukuu wa Chuo? johnthebaptist tusaidie kutegua hii kitendawili ya Dkt mihogo.