Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

CHADEMA ilipoteza muelekeo uyu mzee alipokiacha chama Sasa wamebakia wahuni wahuni na program zao cha upato wa changia sijui mawakili, sijui makamanda yani janja janja tu na matusi
Ni vzr ukaainisha hayo matusi, pia unapomsapoti slaa ni mtazamo wako hupasw kupingwa, but kisheria ni guilty until proven innocent au ni innocent until proven guilty?
 
Dr. Slaa anajitambua sana ndio maana alimkimbia Mbowe na genge lake la kihalifu.

Dr. Slaa ana siri nyingi sana za huyu gaidi.
Well! Je anavyopinga watu kusema Mbowe sio gaidi yupo sahihi? Je kisheria ni guilty until proven innocent? Au ni Innocent until proven guilty?
 
Ukweli? Mkuu ficha bas angalau kdg ujuha! Sheria ya nchi inasema.. ni Guilty until proven innocent? Au ni innocent until proven guilty? Think about it!
Mbali na kuwa wengi wanavielimu vya vyuo, ila vichwani ni hamnazo tuu,

Unamnunua na kumtusi mtu anaposimama kwenye ukweli? Ujinga tupu

Wimbo wa Mbowe si Gaidi, Nani imempa uahueni nafsini mwake?

Ni miezi sasa huo wimbo unaimbwa, mbona bado yuko lupango bwana Mbowe?
 
Alafu Mbowe akishambuliwa personally mnaanza kurukaruka! Hivi mnafikiri watu hawajui mauchafu ya kimaadili huko kwenye vyama venu? Hebu tafuta ugali achana na maisha ya watu.
Mkuu ni kweli kwamba mke wa Slaa kaolewa na mtu mwingine ?
 
Hapa kila kitu amekiweka wazi kuwa wanaChadema tuwe watu wa kufuata misingi ya kweli na kuzingatia sheria.

Hakuna chombo cha kumtia mtu hatiani zaidi ya mahakama. Tuache ngonjera na mbwembe zisizo na mashiko.

Tuheshimu mahakama. Tuache mahashtag na matweets yasiyo na maana.
 
Pia usisahau kuwa, Alfred Lwekatare wakati akiwa Chadema aliwahi kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi (eti alikuwa anapanga mipango ya kumuua Zito, kuteka watu na kutesa), wakati huo Dr. Slaa akiwa katibu mkuu CHADEMA alikuwa akijitokeza hadharani na kuuwambia umma kuwa "Lwekatare sio gaidi, Lwekatare sio gaidi...."

Sasa nini kimebadilika kwa Dr. Slaa na leo aje na hoja za kusema tusiseme Mbowe sio gaidi?
 
Makamanda hawawezi kutuelewa ila huo ndio ukweli.
 
Hapa kila kitu amekiweka wazi kuw wanaChadema tuwe watu wa kufuata misingi ya kweli na kuzingatia sheria...
Dkt Slaa ameanza utapeli wake tena baada ya kustaafishwa ubalozi kinyakimya, this time anavizia teuzi gani tena? Uenyekiti wa Bodi au Ukuu wa Chuo? johnthebaptist tusaidie kutegua hii kitendawili ya Dkt mihogo.
 
Chini ya kapeti nikwamba mke wake ameolewa na jamaa mwingine huko majuu. Dk Slaa amerudi kimya kimya anakaa kwenye nyumba aliyopewa na Chadema Mbweni akiwa katibu mkuu

Na yeye aoe
Kwani kioleo chake si kabaki nacho?
 
Back
Top Bottom