Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
What goes around comes around mkuu 😂😂Huyu Mzee wakati wa Magufuli alijiona yeye ndio yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What goes around comes around mkuu 😂😂Huyu Mzee wakati wa Magufuli alijiona yeye ndio yeye
Na kenyewe yamekakuta....
Mkuu unaizungumziaje kauli yake aliyoitoa wakati wa kesi ya uhaini ya Mbowe?Mmeyakoroga kumpa case ya uhaini Balozi, tena Padri bila kumuondolea Hadhi hiyo kwanza!!!
Kila Nchi itahoji!!!
Na kweli kajipa mwenyewe...Kesi kajipa mwenyewe
Mkuu hivi umeielewa mada kweli au umevamia tu bila kusoma?!Ipo siku ccm watafika huku Mungu yupo wapi Magufuri aliyewaza kujiongezea muda na kutawala milele lakini aliishia kutawala muda mfupi kuliko watangulizi wake
Akinyongwa sijui atasema nini?Na kweli kajipa mwenyewe...
kizuri alikuwa anajua matokeo na athari zake.
Bundi 🙊Mimi nitakuwa mstari wa mbele kumpinga huyu Bundi asitue tena CHADEMA
Kwani hauoni kauli wanazo zitoa kina nape watu wapinga mkataba wa bandari yeye anasema wahainiMkuu hivi umeielewa mada kweli au umevamia tu bila kusoma?!
Katumwa huyu aje avuruge Vyama vya Upinzani na kuzima hoja za sakata la vipengele vya mkataba wa BandariBundi 🙊
😂😂😂😂
Kama unanifuatilia utaumia sana nakushauri uniweke kwenye ignore list.Punguza uropokaji
Labda wamnyonge mkono.Ila akinyongwa shingo,anakufa halafu anatoroka gerezani.😂Akinyongwa sijui atasema nini?
Mjadala wetu mzuri wa kujadili vipengele vya mkataba wa Bandari sasa umekuwa mjadala wa kutafuta Mabush lawyers kwenda kumchomoa Mzee.Ila mzee Slaa amekuja haribu sana huku mbele mbele ... yaani kwa ufupi mzee amezeeka vibaya sana, ee Mungu nisaidie nimalize mwendo salama
Au mzee katumwa?Mjadala wetu mzuri wa vipengele vya mkataba wa Bandari sasa umekuwa mjadala wa kutafuta Mabush lawyers kwenda kumchomoa Mzee.
Inaweza kuwa ni mbinu za CCM huyu Mzee si katoka CCM huyuAu mzee katumwa?
Mkuu acha udini kabisa kwani mojawapo ya madharti wanayopewa Ni kusaidia Jamii je kujenga misikiti,kuchimba visima,shule, hospital Ni dhambi? Mbona haya Mambo yapo tangu na tangu hao wamechimba Sana visima vya maji katika Taasisi za Elimu maeneo tofauti tofauti Tanzania sikuwahi kusikia malalamiko,Slaa arejee hii kauli yake kwa Mbowe.Nne ni Kampuni hiyo kuahidi ujenzi wa msikiti mkubwa mbeya kabla ya KAZI kuanza!!
Bado tu hujasikia harufu ya RUSHWA? Au hujui RUSHWA ni upendeleo, kupata usichostahili, kutokula Kwa JASHO?
Niendelee?!!
In english sirHii Duuh ni ya kiingereza au kiswahili Mkuu? 😀
Na mimi sitaki kusikia kuwa Slaa siyo mhaini wacha Mahakama ifanye kazi yakeAliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.
“Katika masuala yaliyoko mahakamani ninaona kwanza kuna sura inatumika, kwenda kule Mahakamani kama sehemu ya siasa kitu ambacho mimi sikubaliani nacho.
“Hivyo sijaenda kwa kuwa ni kitu ambacho sikubaliani nacho, sikubaliani na principal ambayo inatumika, mnaenda kule kisha mnaanza kujipiga picha na mpo kwenye mitandao, hiyo ni siasa, mimi sichezi hizo siasa.
“Mimi nikiamua kumtembelea Mbowe nitaenda nyumbani kwake, sitaki kufanya kitendo cha Mbowe kuwa gerezani kuwa siasa, kama ni kumuombea nitauombea kwa nafsi yangu.
“Niliudhika tangu siku ya kwanza na yale maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema Mbowe siyo gaidi?
“Wanatakiwa kuachia chombo cha haki kitoe maamuzi siyo wananchi.
“Lakini sina chuki na Mbowe wala sina uadui, nimeshakutana na Mbowe mara kadhaa airport, tukakumbatiana, tukabadilishana namba japo hakuna aliyempigia mwenzake,” anasema DK SLAA.
Source: MwanaHalisi
Huyo Jamaa na hoja zake za udini ana chuki tu na Bibie TausiMkuu acha udini kabisa kwani mojawapo ya madharti wanayopewa Ni kusaidia Jamii je kujenga misikiti,kuchimba visima,shule, hospital Ni dhambi? Mbona haya Mambo yapo tangu na tangu hao wamechimba Sana visima vya maji katika Taasisi za Elimu maeneo tofauti tofauti Tanzania sikuwahi kusikia malalamiko,Slaa arejee hii kauli yake kwa Mbowe.