Wewe hukuona polisi walivyo andamana kwa niaba yao, au ulikuwa umejificha pangoni?Hivi yale maandamano waliyosema akina Mdude na Mwabakusi kuwa yatafanyika piga ua garagaza hata kwa mtalimbo wa Polisi yaliishia wapi? Na akina Mdudu hao wamepotelea wapi? Tulikuwa tunasubiri akina Mdudu na wake zao waandamane ili sisi tuwe tunapiga vigelegele kila wanamopita wanaandamana lakini cha ajabu hawakuonekana maana walisema piga ua garagaza lazima waandamane na kuwa polisi wasingekuwa na ubavu wa kuwazuia.
Wewe hukuona polisi walivyo andamana kwa niaba yao, au ulikuwa umejificha pangoni?
Wewe hukuona polisi walivyo andamana kwa niaba yao, au ulikuwa umejificha pangoni?
Maandamano ndo kwanza yameanza,Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga. Walikumbushwa shingo haipiti kichwa sasa vilio vya nini. Waliyataka wenyewe, wamebipu wenzao wamepiga.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Maandamano Yako pale pale,Hivi yale maandamano waliyosema akina Mdude na Mwabakusi kuwa yatafanyika piga ua garagaza hata kwa mtalimbo wa Polisi yaliishia wapi? Na akina Mdudu hao wamepotelea wapi? Tulikuwa tunasubiri akina Mdudu na wake zao waandamane ili sisi tuwe tunapiga vigelegele kila wanamopita wanaandamana lakini cha ajabu hawakuonekana maana walisema piga ua garagaza lazima waandamane na kuwa polisi wasingekuwa na ubavu wa kuwazuia.
Ila maandamano ya kuisifia CCM na Raisi Samia hayo hayana shida kabisa au sio, 🤣 failed state.Wasmbieni akina Mwabukusi na Mdude na Slaa kama hawana au hawajui wafanye nini basi tutawasaidia. Huu ujinga wa maandamano siyo utamaduni wetu.
Hata wakilazimisha hawatafanikiwa
Maandamano ya kuilaki CCM na viongozi wake hayo hayana haja hata ya kuomba kibali 🤣🤣🤣 ila maandamano ya kudai katiba na maswala yanayohusiana na kutingisha hali ya utawala wa CCM hayo yako kwenye kundi la uvunjifu w Amani hayaitajiki hata kusikika tu.Tunatakiwa tuwaonyeshe kuwa tunajitambua, na tunazijua HAKI zetu kikatiba.
Leo kagera wameandamana kumpokea kiongozi wa CCM, iweje maandamano ya Amani ya iwe haramu?
Uharamu wa maandamano ni yakiwa against na akili na utawala wa CCM na kudai katiba mpya.kwa niaba ya Jamii ya waporomosha matusi, majambazi na wanyang'anyi wanajificha kwenye mwamvuli maandamano haramu
wanafahamika na ni wazoefu wa ujambazi, wizi na uporaji vibanda na maduka ya wananchi.Uharamu wa maandamano ni yakiwa against na akili na utawala wa CCM na kudai katiba mpya.
Sauti za wananchi lazima zisikike maandamano ni muhimu.Maandamano ya kuilaki CCM na viongozi wake hayo hayana haja hata ya kuomba kibali 🤣🤣🤣 ila maandamano ya kudai katiba na maswala yanayohusiana na kutingisha hali ya utawala wa CCM hayo yako kwenye kundi la uvunjifu w Amani hayaitajiki hata kusikika tu.
Wanafanya kazi kwa amriTuna polisi wa hovyo sn
Mwabukusi mlevi mbwa, Mdude bangi kwake ni kama mboga na Slaa ni mwasherati. Kikundi cha wahuni tu hicho kinataka kutuletea vuruguMaandamano ya kuilaki CCM na viongozi wake hayo hayana haja hata ya kuomba kibali 🤣🤣🤣 ila maandamano ya kudai katiba na maswala yanayohusiana na kutingisha hali ya utawala wa CCM hayo yako kwenye kundi la uvunjifu w Amani hayaitajiki hata kusikika tu.
Kwanini hawatumii akili?W
Wanafanya kazi kwa amri
Ni amriKwanini hawatumii akili?
Akiambiwa amuue mtoto wake atathubutu?Ni amri
Polisi au mjeshi anaua, hata mzazi akiamrishwa aue ,anaua.Akiambiwa amuue mtoto wake atathubutu?
Atakuwa hana akili timamuPolisi au mjeshi anaua, hata mzazi akiamrishwa aue ,anaua.
Viapo vyao ni hatari sana.
Wameyeyuka.Hivi yale maandamano waliyosema akina Mdude na Mwabakusi kuwa yatafanyika piga ua garagaza hata kwa mtalimbo wa Polisi yaliishia wapi? Na akina Mdudu hao wamepotelea wapi? Tulikuwa tunasubiri akina Mdudu na wake zao waandamane ili sisi tuwe tunapiga vigelegele kila wanamopita wanaandamana lakini cha ajabu hawakuonekana maana walisema piga ua garagaza lazima waandamane na kuwa polisi wasingekuwa na ubavu wa kuwazuia.