Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
1. Kosoa kwa staha.Yes, ni sawa na kuwafundisha waseme kile unachopenda tu, kuwa kiongozi wa siasa, tena kwenye mfumo wa vyama vingi lazima mwanasiasa uwe na ngozi ngumu, uvumilie madongo yakizidi nawe yajibu, lakini kuwataka wapinzani waseme kile unachopenda ili wakufurahishe huo ni sawa na udikteta.
Naona amejitahidi kuwapanga anavyotaka wale wa ndani ya chama chake, toa huyu hapa weka pale, toa yule kule leta hapa, muhimu aishie huko huko kwasababu ndio mamlaka yake kama mwenyekiti wao yalipoishia, lakini asijaribu kutoka nje ya hapo kufanya kwa wengine wasio wa chama chake, huo utakuwa ni ubabe.
2. Chawa wangu watakuvaa.
3.mikutano ya vyama vya siasa ichochee maendeleo.
Hizi kauli tatu zote zilikuwa ni soft threat kwa wapinzani.
Mtu anakwambia hii ni haki yako lakini ifurahie ninavyotaka mimi.