DKT. Slaa: Rais kumuelekeza Mwanasiasa lugha ya kutumia siyo sawa, tunaingia kwenye mgogoro mkubwa

DKT. Slaa: Rais kumuelekeza Mwanasiasa lugha ya kutumia siyo sawa, tunaingia kwenye mgogoro mkubwa

Tujadili HOJA, Tusimpangie muda wa kuongea,

By the way kipindi Cha Magu Wala RUSHWA walitishwa, Alijitahidi kutunza na kusimama raslimali za Nchi, hatukusikia TEMBO wetu wakiuwawa na majangili au wanyama kisafirishwa nje ya nchi.
Hoja ya mwenye dhambi ni machukizo kwa Mungu.
 

Dr. Slaa yupo sawa kabisa lakini ni kwanini hapa katikati wakiti akilamba asali haya hakuyaona?
Ukilamba asali hutakiwi kuongea, utapaliwa kihoro kikutoke.

Sasa asali imeisha mdomo umekua mchachu sana, wacha atoe ya moyoni.


La muhimu tuangalie hoja kwanza, baadae ndio tumsute mtoa hoja
 
Aisee! Kumbe Mzee bado yupo? Naona anarudi kinyume nyume kwenye siasa.
Uzuri wa siasa za nchi hii hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
 
Back
Top Bottom