WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Hoja ya mwenye dhambi ni machukizo kwa Mungu.Tujadili HOJA, Tusimpangie muda wa kuongea,
By the way kipindi Cha Magu Wala RUSHWA walitishwa, Alijitahidi kutunza na kusimama raslimali za Nchi, hatukusikia TEMBO wetu wakiuwawa na majangili au wanyama kisafirishwa nje ya nchi.
Ukilamba asali hutakiwi kuongea, utapaliwa kihoro kikutoke.
Dr. Slaa yupo sawa kabisa lakini ni kwanini hapa katikati wakiti akilamba asali haya hakuyaona?
What if AMETUBU!!!Hoja ya mwenye dhambi ni machukizo kwa Mungu.
Lakini ni KINYONGA mpenda maslahi.What if AMETUBU!!!
The way anavyoongea ni amejirudi,
Kama Fisadi Lowassa alisafishwa, sisi ni nani tumkazie!!!
Hakurudi CCM kama Lowassa.Lakini ni KINYONGA mpenda maslahi.
Mboowe ye alifurahi Hadi akasimama kupiga makofi
balozi mwache mama aponye nchi, haya ungesema kipindi cha mwendazake alipokuwa anavunja sheria za nchiKauli ya Balozi Dkt. Slaa kuhusu Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa kufanyika
Video: Jambo TV
Kachoka kula mihogoHuyu Mzee anawezakuwa na hoja lakini alitangaza kung'atuka na kuachana na mambo ya siasa.
Kwa Sasa anaonekana kama anatapatapa Kwa maslahi yake kukomeshwa.
Nasikia njaaNamie nimetoa mawazo yangu kikatiba kuhusu alivyotoa mawazo yake kikatiba. Kama ambavyo na wewe umetoa mawazo Yako kuhusu nilivyotoa maoni yangu kikatiba.