Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

Uandishi, mpangilio na mtiririko wa hoja unadhihirisha kabisa wewe ni zao la vyeti vya kughushi.

Pole sana mkuu, halikuwa kosa la Magufuli ila wewe uliyeghushi.

Inabidi u-move on sasa ni zaidi ya mwaka tangu shujaa wa Afrika apumzike kwa amani mbinguni.

Otherwise chuki zitakuua.
 
Corona Mkubwa wewe! Ebooh!

Wewe si mwenye dhambi..!
 
Hakika nchii eti Rais anakufa kizembezembe tu asee.

Bila raia kujua? .

Kuna sehemu haiko sawa kabisa.
 
Kwani angeombewa ndio asingekufa?

Marehemu ndio aliongoza kwa kuficha vitu na propaganda nyingi kwenye vyombo vya habari.

Njia pekee ambayo angefanya tumuaminu ni kuona picha akiwa yupo hospitali tu.

Huyo huyo ndio aliwajaza hofu wasaidizi wake hadi wengine wakadanganya watu ni mzima na ana mafile ya kusoma mengi mara wengine wanasema wameongea naye asubuhi na ilhali walijua yu tahabani kitandani.
 
Naogopa utakuja kana hii kauli come 5 years

pole naona limekupata la gizani...Lugha imewekwa kuwasiliana nawajulisha na hao wenye lugha yao nao watakuwa wamenielewa na wewe utakuwa umenielewa
Ungeitumia vizuri hiyo lugha ya kigeni hapo ulipoitumia, usingesikia nikizungumzia chochote kuhusu lugha hiyo. Hao unaotafuta kuwafikishia ujumbe na lugha mbovu namna ile hawataambulia kitu kutoka kwenye ujumbe wako.
 
Ungeitumia vizuri hiyo lugha ya kigeni hapo ulipoitumia, usingesikia nikizungumzia chochote kuhusu lugha hiyo. Hao unaotafuta kuwafikishia ujumbe na lugha mbovu namna ile hawataambulia kitu kutoka kwenye ujumbe wako.
Kama sisi tunawaelewa na ya kwao wanapotafuta kusema kama sisi wao watashindwaje? Tabu ni wewe ambaye una jali vitu vidogo kama hivyo...Hangaikia mambo makubwa haya yangu utayumba sana...Nafurahia kutokujua lugha hiyo ni ishara ya kuwa sijatawaliwa kabisa kwenye damu yangu na hao ndugu japo wao wananipa maisha sana na kunitafuta usiku na mchana niwasaidie yao pamoja na lugha hiyo unayoiona mbovu bado huwa wanaelewa na zaidi ya kuelewa...so just keep your cool maisha hayahitaji stress utachoka sana😂
 
Dr Slaa kalishwa makombo ya kisiasa sasa ni wa kuabudu na kusifu.
Akumbuke kuwa by association naye ana mikono michafu kwz udhalimu wa mwendazake.
Na kama anapenda kuomboleza aende tu Chato hakuna aliyemzuia.
 
Huyu mwamba ni mzalendo sana miongoni mwa wale wazee welevu nae yumo coz
1.Hasemi kitu kwa maslahi binafsi
2.Utajaza
3.Utajaza
Bila yeye hata hili somo la uraia tulilolisoma kwa miaka sita lisingewezekana...Jina lake litaandikwa kwa kalamu ya dhahabu na wapenda haki vizazi vijavyo ambavyo naamini vitakuwa na utambuzi wa mambo ya msingi...May God bless you Dr. Slaa!
 
SAWA mkuu 'Ame'.

"...unafurahia hujatawaliwa", halafu unahusudu lugha usiyoifahamu?
 
Magufuli alilipwa alichofanya Kwa wenzie. Yeye alipozuia misa na Dua za kumwombea Tundu Lissu alikuwa hazuii Imani? Upanga Una makali kuwili.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Ukiondoa mambo kama haya yakukomoa mahasimu wake, angalau yeye alikuwa anafanya kwa moyo wa dhati mambo ya nchi yake na alitamani kuiona nchi yake na watu wake siku moja wanakuwa wakuheshimika duniani...He just did all he could and for this I will respect him mpaka nafika mbinguni kwa baba nikiwa na shukrani angalau kabla ya kurudi kwake nimeona mwafrica mbaye aliondoa dhana ya kuwa hatuwezi na dunia ikajua kweli tunaweza ila ni bahati mbaya huwa tunaongozwa na wasiojiamini
 
SAWA mkuu 'Ame'.

"...unafurahia hujatawaliwa", halafu unahusudu lugha usiyoifahamu?
Naona unapenda sana kusikia sauti yangu, sawa mkuu 😂😂😂
Kwahiyo maelezo yangu ya kwamba nataka wanisome hukuyaona au?

Sawa basi karibu huku bush tupige soga!
 
Slaa is propagating his political agenda! Alegee na ashindwe!
Just get ready, usione tu wajinga tuna akili nyingi sana; some of us when we speak its a command, kila chenye kuumbwa kina tii amri hiyo.

We are like winds, you never know from where, when and how we move!
 
Just get ready, usione tu wajinga tuna akili nyingi sana; some of us when we speak its a command, kila chenye kuumbwa kina tii amri hiyo.

We are like winds, you never know from where, when and how we move!

Mmekwisha katwa mikia hamna jinsi tena ; you are finished!! Kama mmeshindwa kuongoza Nyumba mtaweza Taifa?
 
Akiongea Balozi Dk. Wilbroad Slaa najua kuwa Mmoja wa 'Geniuses' wachache sana waliobakia na tulionao Tanzania kwa sasa ameongea. Kwa Wakatoliki huwa hakuna Wapumbavu ( Mapopoma ), hivyo hata nami pia nakubaliana nae kwa alichokisema na huu mtazamo wake tena kwa 100% kabisa.
 
Jaribuni kumuelewa Dr.Slaa, hapa anazungumza na wale waliokuwa na mamlaka na waliokuwa karibu na Marehemu, nao wanajulikana.

Mama samia alibi hwang ugonjwa wa Magufuli, alinyimwa hata kumtembelea hospitality kama Makamu wa Raisi, akaambiwa Raisi anataka uende kwenye ziara ya kikazi Tanga, mambo yalipowazidia ndipo wakamuambia atangaze kifo cha Raisi.

Dr.Slaa anazungumzia jambo lenye msingi. Waliotuficha leo wanahaha
 
Wanafki nyie, km alietaka kumuua kafa tayari, sasa ni kipi kinachofanya ang'ang'anie ubeligiji?
Mbona kila siku anataja watu km taahira? Mara Magufuli, mara makonda, Mara Kapilimba na wote hao hawapo kwenye serikali ya sasa.
Tumueleweje huyu Chiba? Atuambie ana agenda gani binafsi na nchi hii?
Inapoelekea atamtaja Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…