Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

Nataman kumuona huyu mwamba akirudi kwenye siasa za ushindani naamini ni moja ya mwanasiasa anayejua kujenga na kupangua hoja bila kupepesa macho.
Hakuna anayemtaka..
CCM hii ya akina Samia, Nape na Makamba?
Au Chadema? Hawawezi, hata ACT hawawezi kumchukua
 
Slaa anajua mwenzie anayemlilia alizikwa kitamaduni? means no religion... ajiulize tu why hizo maombi hazikuwepo... Shetwain hatakagi hayo makitu... na ajiulize why njemba ilikuwa inakwapua mic kanisani inasimama madhabahuni mdhambi mkubwa yule alafu apone!
 
Anataka amuombee aliyekataa mwenzie kuombewa?kweli miungu wapo wengi ila aliyemponya Lisu ni MUNGU wa upendo.
 
Huyu mzee ndiyo maana upadri ulimshinda kwa matamanio yake. Ngoja tumfunze biblia kidogo:

Mathayo 23: 9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.

Nini mnatuletea mambo ya "baba", hata kitabu chenu kinawasuta. Mshasikia Bi Samia anaitwa "mama" nanyi mnataka ku force "bwana yule" nae aitwe "baba".
 
Huyo Slaa ni mpinga kristo hana utu.
 
Wasomi wa kiafrika sijui wakoje kwenye maslahi yao utu huweka pembeni jaribu kufikiria kuhusu huyu mzee eti alikuwa padre!
 


Mungu RIP tuacheni kiki wa watu waliofariki. Slaa hii sio nzuri wala dini hairuhusu hili🙏
 

..kuna watu walimlinganisha na mitume.

..afadhali sasa hivi wanamuita baba.
 
Unachomkemea asikifanye na wewe umekifanya vile vile

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Ugonjwa siri ya mtu, sidhani kama Late JPM angeruhusu itangazwe kuwa ni mgonjwa na aombewe.
 
Hapo ndipo hayati alipobugi. Propaganda(kuwaaminisha watu vitu ndivyo sivyo)

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Samia alikuwa Makamu wa Rais, hakuwa msaidizi wa Magufuli
 
Huyu mzee ni mchochezi anaichonganisha Selikari na wananchi akamatwe awekwe ndani

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Samia alikuwa Makamu wa Rais, hakuwa msaidizi wa Magufuli
Msaidizi ni mtu wa aina gani kwa rais? Nini maana ya "Vice president' na 'Deputy president'?

1. Vice President- i) an officer next in rank to a president and usually empowered to serve as president in that officer's absence or disability. ii) any of several officers serving as a president's deputies in charge of particular locations or functions
2. Deputy President- an officer ranking immediately below a president and serving as his or her deputy. A deputy president takes the president's place during his or her absence or incapacity, after his or her death, and in certain other circumstances

Wewe ulipinga hebu tutofautishie kati ya maana hizo hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…