dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Africa kuna SIASA TUMBOHapa ndipo inaponishinda siasa...
hatari sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Africa kuna SIASA TUMBOHapa ndipo inaponishinda siasa...
Km wameshindwa marekani na EU wamesema wako tayari kusaidia mbona hawataki kupokea hilo pia?Ni kweli kabisa na kila siku nimeendelea kusema humu JF ya kuwa hakuna ushahidi wa kutosha unathibitisha mtu aliyemdungua Lissu risasi. Nikaendelea kuwapa member walalamishi wasiotaka kuelewa wakereketwa wa upande wa pili kama wana evidence wapeleke polisi haki itendeke washukiwa wafikishwe kortini.
Note;"huna haki ya kuzungumza pasipo kuwa na ushahidi wa kile unachokizungumza"
Tukio lolote linabaki kuwa la kawaida mpk uchunguzi u prove vinginevyo.Amesema “ni jambo ambalo ni tukio la kawaida”
Kutaka kuuwawa kwa mwanasiasa wa upinzani mchana kweupe na bila uchunguzi, siyo tukio la kawaida!
Nimerudia kusoma mara kadhaa hii post lakini nashindwa kuona mahali ambapo "Dr. Slaa amemtolea uvivu Tundu Lissu".Balozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Slaa amesema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida na ameitaka jamii kuliacha Jeshi la Polisi kukamilisha upelelezi na kutoa majibu.
Dkt. Slaa ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na kituo cha runinga cha Clouds juu ya hali ya kisiasa ya Tanzania na mustakabali wa maisha yake baada ya kuondoka CHADEMA, amesema hafurahishwi na baadhi ya watu kuwataja hadharani watuhumiwa wa tukio hilo kwasababu linaharibu uchunguzi wa polisi.
“Mimi kinachoniudhi ni hii watu kusema hadharani kwamba kuna hiki na hiki tunasuspect (tunahisi) waliofanya ni fulani. Sheria inasema ukihisi nenda polisi katoe taarifa sio unaenda kwenye vyombo vya habari”, amesema Dkt. Slaa.
Amesema hawezi kuzungumzia kwa undani suala la Lissu kupigwa risasi, ikizingatiwa kuwa watu wengi wamepigwa risasi nchini na kazi ya kuwabaini wahalifu waliomshambulia ni ya polisi sio viongozi wa siasa au wananchi.
“Lakini kama binadamu hakuna anayependa binadamu yeyote aumizwe lakini matukio haya ya kuumizwa yametokea nchi hii kwa watu wengi sana. Na mimi sio chombo cha dola kujua kwamba unanyoosha kidole kwa kitu ambacho hatukiamini; mimi ni msomi”, amesema Dkt. Slaa na kuongeza kuwa,
“Ukitoa taarifa za upelelezi unaharibu upelelezi. Mimi niko Canada mauaji yapo kila siku na watu wanapotea, wanapigwa risasi wakiulizwa polisi wanakwambia suala hilo liko kwenye upelelezi tukifikia hatua nzuri tutatoa taarifa”.
Consigliere, si list of shame Mh.Tindu A. Lissu alisemema ndiye mhusika mkuuYeye ile list of shame alikwenda kutoa taarifa Polisi au TAKUKURU? Au anavyokomaa kuwa Lowasa ni fisadi kuna taarifa yoyote aliyoipeleka TAKUKURU?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] aiseeee[emoji91] [emoji91] [emoji108]Eti jambo LA kawaida!Yeye alishapigwa risasi Mara ngapi?
Huyu Slaa,hatukatai aneshiriki vema kuujenga upinzani lakini kwa siasa anazoenenda nazo,anazidi kujionesha alivyo "bure-beleshi"![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] aiseeee[emoji91] [emoji91] [emoji108]
Mbona unakua na akili kama za mtoto mdogo, Ulishawai kujiuliza zile CCTV Camera ziliondolewa kwa sababu zipi?Ni kweli kabisa na kila siku nimeendelea kusema humu JF ya kuwa hakuna ushahidi wa kutosha unathibitisha mtu aliyemdungua Lissu risasi. Nikaendelea kuwapa member walalamishi wasiotaka kuelewa wakereketwa wa upande wa pili kama wana evidence wapeleke polisi haki itendeke washukiwa wafikishwe kortini.
Note;"huna haki ya kuzungumza pasipo kuwa na ushahidi wa kile unachokizungumza"
Huyu Slaa,hatukatai aneshiriki vema kuujenga upinzani lakini kwa siasa anazoenenda nazo,anazidi kujionesha alivyo "bure-beleshi"!
Yeye mwenyewe alipokuwa katibu wa Chama cha upinzani mke wake alipigwa mapanga na alikaa India kwa kipindi kirefu akitibiwa Polisi walimpa hitimisho la uchunguzi?
Tundu Lissu amepigwa risasi mchana katika makazi ya watumishi waandamizi wa serikali anasema ni tukio la kawaida.
List of shame iliandaliwa na Tundu Lissu na ikasomwa na Dr. Slaa hadharani baada ya aliyeiandaa (Lissu) kugwaya kuisoma kwa kuogopa kupelekwa kotini.Yeye ile list of shame alikwenda kutoa taarifa Polisi au TAKUKURU? Au anavyokomaa kuwa Lowasa ni fisadi kuna taarifa yoyote aliyoipeleka TAKUKURU?
Kwanini Dr. Slaa aliisoma hadharani kwenye vyombo vya habari badala ya kuipeleka Polisi?List of shame iliandaliwa na Tundu Lissu na ikasomwa na Dr. Slaa hadharani baada ya aliyeiandaa (Lissu) kugwaya kuisoma kwa kuogopa kupelekwa kotini.
hahahahahahaaaaaa.. thats why“He wants to have his cake and eat it too”
Huyu ni msaliti wa Ukatoliki, haaminiki hata kidogo. Achana naye. CCM damu sasa, what else do you expect na ameahidiwa ubalozi, hawezi kulikoroga. Kutoka kuosha vyombo hotelini, leo ni diplomat, hawezi kuuona ubaya wa Lisu kupigwa risasi na huyo anayetuhumiwa.