Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

Waziri Masauni aache kutisha watu, hajawahi kuwa Mgambo au Sungusungu.
✍️
 
Endeleeni kuongea kashfa Kwa Rais ndio mtajua kama ana wajibu wa kisera au anatishia..

Hawa wakipewa kesi 12 tuu wataomba poo,na wanawafadhili Wapigwe Pini fasta..
 
Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu tunataka bandari yetu tu
 
Umaarufu upi wa Mbowe alionao? Lisu mwenyewe alirudi baada ya Rais kumfutia kesi,jifanye mjuaji saana utaula wa chuya..

Hayo mambo Huwa Yana maana kama Umma uko tayari kukupigania ila kama hauko na wewe utaumia Bure .
Wewe umewahi kualikwa Ikulu hata ya hapo Mbeya Mjini tu?
 
Tatizo ni kwamba, wao wanaamini mkataba/Makubaliano hayana mapungufu
Wanaelewa Kila kitu wanachokifanya. Hii kitu Iko well organized! Na ilikuwa inatekelezwa kwa Siri wananchi wasielewe chochote. Mungu ni mwema kwa taifa lake aliloliumba,akautoa mkataba sirini na kuuweka palipo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…