Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

Nikajua ametaja wezi Mafisadi na Kila mtu Kwa kiasi alichovuna Sasa kutaja jumla jumla ni kukosa hoja.
 
watu wanalipwa na wapigaji bandarini nyumbu wa chadema wapo mitandaoni kulalamika bila posho
 
Nyinyi endeleeni kuwasikiliza tu wenzenu wanalipwa na makampuni yanayowatuma yanayoelekea kupoteza ulaji bandarini nyinyi mmebaki kukesha mitandaoni kuwasikiliza badala ya kwenda mashambani na kwenye shughuli zitazokuingizieni kipato na familia zenu.
Hako kacheo bwashee ni mapato ya aibu, tuachienieni Bandari zetu raia wenye asili ya Tanganyika. Maana mnapoona raia wanaelimishwa mnaumia sana na kuanza kusema ooh wanalipwa, wacha walipwe siwanasema ukweli.
 
Hii kitu kila mwananchi akiisikia asee nchi itakuwa ya moto balaa!

Tar 22 takuepo mapeeeema!
 
Pamoja na yote.
SI busara kumwita Rais "mjinga".
Tutumie lugha nzuri.
 
Kunyamazia mabaya ya kipindi kile haihalalishi kuacha kusemea mambo mabaya ya sasa.

Tunachopima si alikuwaje kipindi fulani isipokuwa tunatakiwa kuangalia uimara na validity ya anachokisema sasa.
 
Eti una "sura".


Yeye "sura" yake kishaiona, amjibu Rostam Aziz aliyemwabia kahongwa. Kuhungwa kama si ufisadi ni nini? Alikanusha au alimfungulia kesi Rosta kwa kumchafua, sia ana hao wanasheruia uchwara karibu yake.

Mama hatojibu ujinga huu, watateseka sana.

Hao wabaki na sisi tu mitandaoni tuwape darsa. Haya, (bofya chini hapo) mbona hawayaongelei?

 
Ni jambo jema

Itumike lugha ya staha, ndio ombi langu

Amen!
Kwa hili johnthebabtist waache Watanzania watoe hasira zao,watawala waliyowatendea Watanzania hayakubaliki nanhayavumilikingoja watoe hasira zao,bora wasitukane mtu.
 
Rostam kasema wazi wazi alihongwa.
 
Habari za jioni waungwana !!

Kwa mwenye mahitaji ya digital BP machine na glucometers kwa ajili ya kumonitor blood pressure na blood sugar anicheki inbox. Bei ni very affordable [emoji1545]

Nawakaribisha PM
 
Kunyamazia mabaya ya kipindi kile haihalalishi kuacha kusemea mambo mabaya ya sasa.

Tunachopima si alikuwaje kipindi fulani isipokuwa tunatakiwa kuangalia uimara na validity ya anachokisema sasa.
Haya yote yalisababishwa na Magufuli kwa hiyo ni vigumu kuanza kupayuka sasa na hadhithi zake wakati alimkumbatia Magufuli na kubariki kila ushenzi aliokuwa anafanya bila kupinga naona taabu sana kumsikiliza huyo mzee anakera na kujifanya kasoma na anaamini mungu wakati Magufuli anaua na kupiga mabomu ofisi za watu na kutaifisha mali za watu yeye alikuwa wapi??
 
Warekebishe mapungufu na tunataka Katiba mpya.
Hapa hakuna swala la kurekebisha mapungufu,the whole agreement must be scraped,na hatutaki tena CCM isimamie serikali yetu,it must go,we want a completely different setting,CCM has lost all credibity.Miaka nenda miaka rudi ni mikataba mibovu,rushwa na ufisadi kila eneo,hakuna kuwajibishana,no we are fed up,CCM imepoteza trust ya Watanzania it must be uprooted by all possible means.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…