WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Hoja zao juu ya mkataba wa dp world zijibiwe kwa hoja sio mabavu na mkono wa chuma. Nchi ni yetu wote, nia yao IPO clear kabisa ni kujaribu kulinda rasilimali za nchi.
Hoja zao juu ya mkataba wa dp world zijibiwe kwa hoja sio mabavu na mkono wa chuma. Nchi ni yetu wote, nia yao IPO clear kabisa ni kujaribu kulinda rasilimali za nchi.
Dkt Slaa siyo mpumbavu aongee maneno hayo. Watetezi wa DPw mmetengeneza script ili kuharass watetezi wa watanzania against their resources.
Slaa ni mwanasiasa wa muda mrefu, diplomat na mwanasheria ambaye anajua Sheria ya nchi. Hawezi kuongea namna hiyo. Acheni propaganda. Weka clip tusikie.
Hoja zao juu ya mkataba wa dp world zijibiwe kwa hoja sio mabavu na mkono wa chuma. Nchi ni yetu wote, nia yao IPO clear kabisa ni kujaribu kulinda rasilimali za nchi.
Hamna uhusiano na watu weusi hii kesi mbona mahakama imeishatoa majibu, jadili maneno ya Dr Slaa, usiwasingizie watu weusi, juzi Marekani kuna mtu kakamatwa katishia kumpindua Rais.
WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nch...
WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter...