Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Tusipinge kwa vile tunaichukia CCM. Kama ni watu tunaopenda ukweli tusimamie ukweli.Yaani na wewe unaingizwa king na AIGIPI Wambura? Unajua kumpindua Rais ilivyo? Hivi kwa akili yako Mdude,Mwabukusi na Slaa wanaweza kupanga kumpindua Rais hata akiwa nyuma ya huyo Mtu?
Kauli walizozitoa kwa serikali iliyo madarakani iwe tunaipenda au laa ni kauli za kiuchochezi! Hatukatai kuna changamoto kwenye mkataba lakini kauli walizozitoa ni za gharama sana!
Vipi kama Chadema ingelishika madaraka halafu mwana CCM atamka maneno hayo serikali iliyomo madarakani ingelichukua hatua gani?