Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Aliyesema juu ya utetezi ni nani? Si wewe? Na kwani nimesema tusisubiri mawakili? Onyesha popote niliposema tusisubiri mawakili lasivyo wewe ni just another idiot!
Unajaribu kutwist kwani mimi nilisema uliandika kuhusu utetezi ??
 
Dkt Slaa siyo mpumbavu aongee maneno hayo. Watetezi wa DPw mmetengeneza script ili kuharass watetezi wa watanzania against their resources.
Slaa ni mwanasiasa wa mda mrefu, diplomat na mwanasheria ambaye anajua Sheria ya nchi. Hawezi kuongea namna hiyo. Acheni propaganda. Weka clip tusikie.
Sikiza
 
Wasisahau kumpelekea chakula chake pendwa huko Jela huyu Babu kwa Mihogo ni noma.
 
Wanachi hata Mbowe walimkataa alitembea nchi kuomba kura, akabwagwa vibaya sana na Kikwete, akaja Slaa na yeye akatembea nchi nzima akabwagwa vibaya sana.

Mjitahidi sana kwenda na sheria na kanuni za nchi. 2025 siyo mbali, kama wananchi wameukataa mkataba, si mnambwaga Rais kwenye kura? Tatizo nini?
Kwenye swala la bandari, umeamua kujitoa ufahamu. Na umeingiza ushabiki usioisaidia nchi.
Kwa akili yako kuna kesi hapo ?!.

Hoja za udhaifu wa mkataba zijibiwe kwa hoja. Si kubambikiana kesi.

Muungano umeleta shida sana.
 
View attachment 2718158
Mzee mtondoo ataubeba sana
Bora wanyongwe tu huko huko wasirudi uraiana kwasababu hawaioni thamani ya Amani tulio nayo, yeye kapata nguvu ya kurudi nchin kwasababu kuna amani, hakuna mapinduzi bila damu kumwaga ni bora imwagwe yake yeye na hao wapuuzi wenzake kwaajili ya amani ya nchi na watu wake, huyo ni Mhaini.
 
Bora wanyongwe tu huko huko wasirudi uraiana kwasababu hawaioni thamani ya Amani tulio nayo, yeye kapata nguvu ya kurudi nchin kwasababu kuna amani, hakuna mapinduzi bila damu kumwaga ni bora imwagwe yake yeye na hao wapuuzi wenzake kwaajili ya amani ya nchi na watu wake, huyo ni Mhaini.
Sisi kama Raia wema wa Taifa hili bila kujali vyama wala itikadi zetu tuwakemee wahaini wote au wale wenye nia ya uhaini katika roho zao
 
Hayo maneno mbona umeongeza wewe sio Dr.Slaa?,yeye kasema serikali tu kaishia hapo,serikali kali ipi hapo ndio kesi inaishia hapo,ni kama Lissu wakati fulani alishtakiwa kwa kusemaJPM ni dikteta uchwara,shida ilikuwa kuthibitsha alimaanisha JPM yupi au ni kitu gani,maana polisi walijua ni Magufuli,wakaambiwa kamleteni huyo JPM mnayemsema,kesi ikawashinda,Maana JMP inaweza kuwa hata John Pombe Maharage nk
Mengine nadhani ni ya Mahakamani.
 
Back
Top Bottom