Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Kwanza, karibu jamvini baada ya kupotea miaka mingi sana.

Tunatumai u mzima wa afya tele.

Swali lako ni zuri sana na la kina, binafsi ntadonoa kidogo kidogo huku nikitazama hali ya hewa.
Alhamdulillah…
Msililize Dr Slaa.
 

Attachments

  • 17191316-2599-40f7-a61f-b1fffab368c3.mov
    274.4 KB
WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano...
Hiyo kauli ni zaidi ya uhaini.

Hiyo kauli ilikuwa inahitaji afinywe hapo hapo walipomkuta, kama ilivyotokea huko Utah USA hivi majuzi.
 
Dr Mihogo mweke pembeni, hao wengine je?
Kauli ya juu ni ya Slaa
Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
Kauli hii ni ya Mdude
Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima
tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Kauli hii ameitamka wakili Mwabukusi
 
WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa...

Yaani na wewe unaingizwa king na AIGIPI Wambura? Unajua kumpindua Rais ilivyo? Hivi kwa akili yako Mdude, Mwabukusi na Slaa wanaweza kupanga kumpindua Rais hata akiwa nyuma ya huyo Mtu?
 
WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
Huenda kuna vikosi keshaviandaa huyo Mzee aseme vizuri.
Majeshi yetu yana nidhamu ya hali yajuu hayawezi kumsikiliza huyu Mzee aliyechanganyikiwa.

"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"

"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"

"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Mwakubusi ameyatimba, kafutwa uwakili, kajieka kwenye matatizo makubwa, hivi angetulia zake maisha yaende kama na hela anayo angepungukiwa nn? 😂😂, Hivi nikifiria jinsi kuwa wakili ilivyokuwa ngumu, Yani upige vizuri advance, chuo uishone kwelikweli, school of law ule mtihani wao mgumu kumeza utoboe, bado uchaguliwe na judge mkuu, uoneshe juhudi uwe wakili, af kisa mambo ya serikali ufutwe uwakili...dooh!!
 
Huenda kuna vikosi keshaviandaa huyo Mzee aseme vizuri.
Majeshi yetu yana nidhamu ya hali yajuu hayawezi kumsikiliza huyu Mzee aliyechanganyikiwa.
Kuna clip nimeona amesema “the extreme” ni kupindua nchi.

Kuna sehemu amesema atapinduwa nchi uweke hapa wengine tuone?

Kwasababu naona upotevu mwingine wa pesa za kodi kwenye kesi ambayo haina mashiko.

Hakuna kesi hapo. Unless uweke clip hapa anayosema atapinduwa nchi.
 
Ilikuwa ni press conference na wamekata sehemu kubwa ya alichokuwa anaelezea ili lengo lao lifanikiwe. Kuna mtu anapanga kupindua serikali kwa kuitisha press?
Kweli baadhi ya vipengele baina ya serikali na DP World vinachangamoto lakini ni kipi kilichowasukuma mpaka watoe kauli za namna hiyo?

Swali lisiwe kwamba je wana uwezo wa kupindua? Swali liwe Kipi kilochowasukuma wao kutoa kauli za kuchochea kufanya mapinduzi?
 
Kweli baadhi ya vipengele baina ya serikali na DP World vinachangamoto lakini ni kipi kilichowasukuma mpaka watoe kauli za namna hiyo?

Swali lisiwe kwamba je wana uwezo wa kupindua? Swali liwe Kipi kilochowasukuma wao kutoa kauli za kuchochea kufanya mapinduzi?
Usiwe kama mjinga wewe. Wamekata clip. Hii ni press aliyoitoa hadharani na alikuwa anazungumzia jambi jingine kabisa.
 
Kuna clip nimeona amesema “the extreme” ni kupindua nchi.

Kuna sehemu amesema atapinduwa nchi uweke hapa wengine tuone?

Kwasababu naona upotevu mwingine wa pesa za kodi kwenye kesi ambayo haina mashiko.

Hakuna kesi hapo. Unless uweke clip hapa anayosema atapinduwa nchi.
Hapo ni kuingilia Mahakama mwenye uchungu na Dr Slaa amuongezee Wanasheria
 
Hawana uwezo wakumfanya lolote wala chochote slaa ila tu hizo kauli zimewashtua na wameona wasizidharau sana.

wameamua kumchukua Slaa nakumpa kesi ambazo ki uhalisia hatohukumiwa nazo bali kapewa ili tu kuondolewa uraiani.

watamficha hadi watakapomaliza mambo yao kisha watamuachia kama walivyomuachia sabaya.

Ki ufupi hamna watachomfanya ni wameamua tu kumuondoa uraiani ili yasije yakawa kweli ayaongeayo kwahyo hyo tunaita ni Serikali imejihami mapema ila si kweli kwamba Slaaa atahukumiwa.Never.

Kaenda pumzishwa tu na kodi zetu hzi hzi zitatumika kumtunza mpaka atakapotoka nnje.
 
Back
Top Bottom