Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa nimweke Dr mihogo pembeni kivipi?Dr Mihogo mweke pembeni, hao wengine je?
Jk wakt anafos gesi mtwara aliziba masikio malalamiko ya watu, leo kikowapi alichokuwa anatangazia umma manufaa ya ile gesi.
Kwahiyo tuchukulie walikua wanaitania serikali si ndio?Mzee Mohamed Said acha propaganda zako. Kupindua nchi hakufanyiki kwa maneno!
Kwahiyo tuchukulie alikuwa anaitania serikali si ndio?Eti nchi inapinduliwa kwa maneno! Huyu mama ana inferiority complex mbaya sana.
😛 😛 😛 😛 😛 😛Kwahiyo tuchukulie walikua wanaitania serikali si ndio?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hizo ni gharama ambazo hata yeye anazijua na alikuwa yupo tayari kuzibeba,hata wakati anapekuliwa na polisi aliongea,kwahio sioni cha ajabu,hata mtaani unaweza kusingiziwa chochote lakini baadae ukweli utashinda tu,@Farolito
Lugha nyengine zinakuweka mahali pabaya , kwa hiyo suggestion yako hata aje ajikwamuwe hasara yake ni kubwa , ya wakati na afya yake. Mzee kama huyo kusekwa lupango ni noma
Fua nguo za shemeji yako weweMwakubusi ameyatimba, kafutwa uwakili, kajieka kwenye matatizo makubwa, hivi angetulia zake maisha yaende kama na hela anayo angepungukiwa nn? 😂😂, Hivi nikifiria jinsi kuwa wakili ilivyokuwa ngumu, Yani upige vizuri advance, chuo uishone kwelikweli, school of law ule mtihani wao mgumu kumeza utoboe, bado uchaguliwe na judge mkuu, uoneshe juhudi uwe wakili, af kisa mambo ya serikali ufutwe uwakili...dooh!!
Vipi una tatizo lolote na waarabu?Mama huyu huyu wa waarabu?
Hata Kikwete kasema kama kuna vipengele vina changamoto dawa ni kuvirekebisha.Kweli baadhi ya vipengele baina ya serikali na DP World vinachangamoto
alitamka hayo na video ipoDkt Slaa siyo mpumbavu aongee maneno hayo. Watetezi wa DPw mmetengeneza script ili kuharass watetezi wa watanzania against their resources.
Slaa ni mwanasiasa wa mda mrefu, diplomat na mwanasheria ambaye anajua Sheria ya nchi. Hawezi kuongea namna hiyo. Acheni propaganda. Weka clip tusikie.
Nchi ngumu sana hii;ni sawa na Job alivyotumwa na kambi fulani ku-test mitambo Ili wajue kama Mama atagombea,naye Mama akaingia kichwakichwa,atimaye wakajua kuwa Mama ana Mpango wa kuendelea 2025,sasa wanamchezesha Segere ili ikifika wakati amwagwe.WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Bendable basi kamtetee mahakamani. Muonee huruma, umri mkubwa.Kuna clip nimeona amesema “the extreme” ni kupindua nchi.
Kuna sehemu amesema atapinduwa nchi uweke hapa wengine tuone?
Kwasababu naona upotevu mwingine wa pesa za kodi kwenye kesi ambayo haina mashiko.
Hakuna kesi hapo. Unless uweke clip hapa anayosema atapinduwa nchi.
Sasa Mkuu unatishia kuiondoa madarakani serikali ya mwenzako imma uwe na nguvu au usiwe na nguvu unategemea atakufanya nini? Tutumie logic tu unafikiri atakufanya nini?
Kwa sababu hapo haitaangaliwa tofauti isipokuwa ni uzito wa kauli.
Hawa ndio wanasheria wa chadema Haki ya Mungu [emoji1787]Serikali ipi sasa?,maana haijatajwa hapo kama ni serikali ya instagramu?hio kesi haina mashiko