imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaserikali ipi aliyoitaja hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaserikali ipi aliyoitaja hapo.
Mwisho wake ni Katiba mpya tu.Enough is enough. Hizo mahakama zinazolinda tawala za wezi sasa zinakaribia mwisho wake.
Serikali ya mtaa wake.serikali ipi aliyoitaja hapo.
Hakuna uwezekano wa kupatikana kwa katiba mpya kwa njia ya maridhiano ya kisanii. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi pekee ndio yataleta katiba ya kweli ya wananchi.Mwisho wake ni Katiba mpya tu.
Wangeachiwa TICTS au siyo?Angekuwa mjanja asingegawa bandari zetu kwa waarabu kwa mikataba ya hovyo ya akina Chief Mangungo
Kama walikua hawatanii basi wasubiri kunyongwa. Uhaini hukumu yake ni kifoWalikuwa hawatanii, hizi serikali zinazoingia madarakani kwa kupora chaguzi, kisha kuuza mali za umma kihuni, ni aidha machafuko au mapinduzi ya kijeshi ili zikae pembeni.
Unapima vipi uadilifu wa mtu Kama Slaa ambaye aliuza utu wake kwa kipande Cha mkate kipindi Cha Magufuli na ndiyo huyo huyo alipigilia msumari ugaidi wa mbowe hadi kusema CDM wanatekana alikua anasikilizia mchongo wa teuzi imegoma akapokea mkate wa wapinga BANDARI acha atapik3 alivyokula tangu alipoasi upadri.Dkt Slaa siyo mpumbavu aongee maneno hayo. Watetezi wa DPw mmetengeneza script ili kuharass watetezi wa watanzania against their resources.
Slaa ni mwanasiasa wa muda mrefu, diplomat na mwanasheria ambaye anajua Sheria ya nchi. Hawezi kuongea namna hiyo. Acheni propaganda. Weka clip tusikie.
Mapinduzi yatageuka vita vya udini ukabila hakuna atakaeshindaHakuna uwezekano wa kupatikana kwa katiba mpya kwa njia ya maridhiano ya kisanii. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi pekee ndio yataleta katiba ya kweli ya wananchi.
Kwanini umechagua kipande kidogo weka clip yote tusikiekuna masheikh,wambula na CCM.
Mi sawa na babako shauri yako hizi Fake ID zisiwadaganye vijana.Dogo umekuja na marking scheme nini?
Mbona kama una tatizo na misikiti ndugu mkristo mwenzangu?Hatuendi kichwa kichwa. Vuta subira. Uzuri hatutaharibu misikiti yenu. Sisi tutadeal na mijizi tu.
Ile mipango iliyowekwa post namba 1 vipi?Na ndiyo lengo la mama Abdul. Ameogopa hoja walizokuwa wanampiga kuhusu mkataba akaona atumie dola ili kunyamazisha mjadala. Hapa hata ungekuwa kilaza kama mama Abdul unajua kabisa hakuna kesi ila ni kukomoa.
Hivi kwanini Kikwete alikuwa hamkamati Dr Slaa wakati wa utawala wake na kipindi hicho Dr Slaa alikuwa anavujisha taarifa na document nyeti za nchi!Alhamdulillah…
Msililize Dr Slaa.
kifungu cha 39, kifungu kidogo cha kwanza kimetaja vitu viwili, mtu yeyote atakayemuua Rais wa nchi atahesabika kama mhaini, mtu yeyote au kikundi chochote kitakachotangaza vita kitahesabika kama ni uhaini.Enough is enough. Hizo mahakama zinazolinda tawala za wezi sasa zinakaribia mwisho wake.
Alikuwa kazini. Usikute hata sasa yupo kazini.Hivi kwanini Kikwete alikuwa hamkamati Dr Slaa wakati wa utawala wake na kipindi hicho Dr Slaa alikuwa anavujisha taarifa na document nyeti za nchi!
Siyo kwamba Mama anatengenezewa zengwe na yeye anaingia kichwakichwa?
Ata Mama kwa ule mkataba alipaswa awe amejiuzuru,ule ni uhaini!Hiyo kauli ni zaidi ya uhaini.
Hiyo kauli ilikuwa inahitaji afinywe hapo hapo walipomkuta, kama ilivyotokea huko Utah USA hivi majuzi.
Mwenzako Dr mihogo kaongelea kwenye press nia ya kufanya mapinduzi. Wewe unaongelea mapinduzi JF tena kwa fake ID utafanikiwa kweli?Hakuna uwezekano wa kupatikana kwa katiba mpya kwa njia ya maridhiano ya kisanii. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi pekee ndio yataleta katiba ya kweli ya wananchi.
Kawanyaka kwa ushahidi gani? hayo maneno matupu aliyotunga huyo Ritz hapo juu yasiyo na ushahidi wowote wa sauti?Huyu Raisi mjanja sana kawasubiri Wanaharakati mpaka wamejaa wenyewe kama Senene halafu akawanyaka[emoji16]
Tundu Lissu alikuwa anaprovoke bila kuvuka red line[emoji38]
Wapi Dr. Slaa ametamka hayo maneno aliyoandika mleta mada aliyejitungia?Kweli baadhi ya vipengele baina ya serikali na DP World vinachangamoto lakini ni kipi kilichowasukuma mpaka watoe kauli za namna hiyo?
Swali lisiwe kwamba je wana uwezo wa kupindua? Swali liwe Kipi kilochowasukuma wao kutoa kauli za kuchochea kufanya mapinduzi?
Hao wajinga wamezoea kusema uongo halafu thread zao zikifutwa wanalalamika mods wakristu!Usiwe kama mjinga wewe. Wamekata clip. Hii ni press aliyoitoa hadharani na alikuwa anazungumzia jambi jingine kabisa.