Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Wanachi hata Mbowe walimkataa, alitembea nchi nx8ma kuomba kura, akabwagwa vibaya sana na Kikwete kwa kura 80%, akaja Slaa na yeye akatembea nchi nzima akabwagwa vibaya sana.

Mjitahidi sana kwenda na sheria na kanuni za nchi. 2025 siyo mbali, kama wananchi wameukataa mkataba, si mnambwaga Rais kwenye kura? Tatizo nini?
Aliokwambia raisi wa Tanzania anakataliwa kwa kura za wananchi ni nani? Raisi aliyesema kwa kinywa chake kuwa hata msipoichagua CCM ifashinda tu. 🤣🤣🤣

You must be a DAMNED FOOL
 
Tatizo tunatengenezewa cha kusikiliza" social media inapobeba maslahi fulani binafsi matokeo yake ni kusikilizishwa wanachotaka watu fulani tusikie na siyo kile tulichopaswa kusikiliza. Nimepatwa na walakini mkubwa sana juu ya hii clip Kwa sababu zifuatazo:
1. Imekatwa mazungumzo ya awali yaliyojenga swali la Mwanahabari, mazungumzo hayo ndiyo msingi wa swali
2. Jibu alilolitoa Dr Slaa halijajifunga katika chaguo rejea aliposema "the extreme" tunapogusia extreme ina maana kuna mkururo wa machaguo ( continuum of options) kuanzia ngazi ya chini sana hadi ya juu sana.
Mpaka inasikika sauti the extreme ni....." Kimantiki kuna swali jingine liliulizwa hapo..." Kwa nini halijasikika?.
 
Vijana msijidanganye hapa kuwa kosa la uhaini ni kama makosa mengine, kuwa mpaka kuwe na ushahidi wa kufanyika. Uhaini ukishafanyika ndiyo tayari tena hakuna kesi hapo.

Kosa lq uhaini ni kama hivi mnavyoona, kuwahiwa mapema kabisa.
Wewe bibi ndie unajidanganya, mwambie huyo muongo mwenzio atuwekee clip pale juu kabisa, inayosema kile alichoandika kumhusu Dr. Slaa, kinyume na hapo, nyie ni kundi la wajinga msio na maana yoyote.
 
Ndio maana nawambia nyie nguruwe na kimbulu wa ccm jiendelezeni kielimu, nakupa mfano mwepesi wewe kuwadi la dpworld ili uelewe makosa hata kama ni mbumbumbu mfano, mtu akisema nitachukua panga niende nikamuuwe sabaya lile jambaz sugu lililokubali ujambazi mahakama kuu moshi, je nitashtakiwa kwa mauwaji ya sabaya huyo jambaz.
Povu la nini wakati Slaa kaongea mbele ya vyombo vya habarii?

Hachomoki hapa huyu Babu
 
Wewe mbona unapenda kutafuniwa sana. ?
Nyie wajinga si ndio mmeleta huu uzi hapa, sasa kwanini mimi nihangaike kutafuta kile mnachotakiwa kuleta nyie ili kuthibitisha madai yenu?

Hamna akili.

He who alledges....
 
The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa

Kwa hii kauli Dr Slaa anaweza kuchezea Kitanzi
Kweli kamalizia.kwa kusema " tutafanya hivyo"?

Mbona hayo maneno mawili kwenye clip hayapo?
 
Sahihi kabisa maalim Big show.
Waislamu walipakaziwa ugaidi wamekaa jela na wengi wao wamefia jela bila ushahidi wala kupelekwa mahakamani
Huyu kizee wa kuwekwa jela na hukumu ipete.
Kosa la kuchochea au kutaka kupindua nchi ni KIFO.
Hivi kwa huu ujinga wenu hamjioni mnavyothibitisha mna chuki binafsi dhidi ya Dr. Slaa, ndio maana mmeleta uzi usio na ushahidi wa video kuthibitisha madai yenu dhidi yake?

Akili hamna kabisa.
 
Wewe bibi ndie unajidanganya, mwambie huyo muongo mwenzio atuwekee clip pale juu kabisa, inayosema kile alichoandika kumhusu Dr. Slaa, kinyume na hapo, nyie ni kundi la wajinga msio na maana yoyote.
Hatupo mahakamani hapa.

Jiulize kwanini Slaa kabadilishiwa shtaka baada ya kufanyiwa upekuzi nyumbani kwake? Na kwanini katolewa na kupelekwa Mbeya?

Haya mambo si madogo.

Tunangoja sasa na wa mikoa mengine. Hao naona itakuwa kimya kimya, tunawastukia mahakamani tu.
 
Back
Top Bottom