Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Wanyongwe hata kesho mchana hapo uwanja wa Mkapa. Hakuna mtu anayejitambua atakubaliana na uuzaji wa bandari. Tunataka wanyongwe mapema ili ushujaa na majina yao yabaki kuwa walipigania nchi hii hadi kuuwawa na majizi ya kura.
We taahira mbona mmeulizwa mtoe ushahidi wa Bandari iliyouzwa mmembwera mbwera tu
 
Hayo ni maneno ya Dk Slaa pekee kweli.
Kwa matamko hayo mkuu wa polisi bila kupata amri ya raisi alipaswa achukue hatua.Naasingefanya hivyo angejifukuzisha kazi na angekuwa adui wa ummaj yeye kwanza.
 
Tatizo la huyu Slaa ni Roho mbaya. Ana roho mbaya sana. Mungu hapendi wenye roho mbaya. Kizuizini huku abebe ndoo za vima.
 
Mimi ni Chadema damu lakini simsapoti huyu Mzee "pinga pinga".
Weye ni Haramia tu. Ni mamluki wa waporaji wa maliasili tu na ni mmoja wale wenye itikadi za Kiutenganishi.Ni CHADEMA feki tu wa kuchanganya watu.
 
Hatujawahi kupata Raisi mpole na mstaarabu kama Samia Suluhu Hassan halafu huyu Babu analeta za kuleta.

Ona sasa anaenda kubeba mtondoo
 
Inaonekana hivyo kwa kweli. Sina mda mrefu hapa JF lakini naona kana kuna kikundi cha kuchafua critics wa Mh.Samia Suluhu na wanaonekana,again ni wenye muonekano wa wafiadini. This is dangerous kama wanatumiwa na watu wa Serikalini.
 
Weye ni Haramia tu. Ni mamluki wa waporaji wa maliasili tu na ni mmoja wale wenye itikadi za Kiutenganishi.Ni CHADEMA feki tu wa kuchanganya watu.
Mdomo mali yako bwana kuwa CHADEMA haina maana ya kusapoti Uhaini dhidi ya Nchi yangu Tanzania au kuunga mkono Mapinduzi.

Kuwa CHADEMA hakunifanyi nipinge uwekezaji kwenye Nchi yangu

Kwangu mimi always always TANZANIA kwanza Vyama baadae
 
Umeongea jambo la maana sana.

Chadema isitumiwe kuwa chanzo cha machafuko nchini.
Huyu Slaa anatakiwa kunyongwa haraka sana ili wengine wajifunze adabu.
 
Umeongea jambo la maana sana.

Chadema isitumiwe kuwa chanzo cha machafuko nchini.
Huyu Slaa anatakiwa kunyongwa haraka sana ili wengine wajifunze adabu.
Napendekeza huyo Babu atafutiwe Basha huko Gerezani ili akitoka atoke na Bawasiri ashindwe hata kukaa kitako na kupanga Mapinduzi mengine.
 
Hayo mtasaidiana wewe na Dr slaa kueleza majaji huko mahakamani hapa JF siyo mahakama.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
- halafu kesi haisikilzwi na majaji ni jaji mmoja tu, except kesi za kikatiba tu
Ulishamsikia Rais katia lake?

Mmepakaza wenyewe mkayazowe sasa, mama wala hana habari, anapewa briefing tu.
- tumia akili kidogo, kesi ya uhaini anayetaka kupinduliwa ni Rais, na huyo impliedly ndio mlalamikaji,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…