Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Ushauri wangu, watu wafanye kama walivyofanya Mbowe, Lussu na Lema, watume watu kimya kimya waombe radhi kwa mama, atowe amri watolewe. Nje ya hapo? Tutakesha sana.
 
Kuna umuhimu wa kutathmini kwa kina muktadha ambao daktari ameshtakiwa kwa uchochezi/uhaini.
Video ya sekunde tisa
inayomshirikisha Dk ikisema hayo aliyoyasema kama ushahidi won't hold in a court of lawa.Hatahivyo, ni muhimu kuzingatia yote kabla ya kudandia mahitimisho ya makuwadi wa DP.W

Ni muhimu kutathmini mashtaka ya uchochezi/uhaini wa DKt Slaa ndani ya muktadha mpana.
Haki zitendeke.
 
Weka video yote au link yake. Hicho ki clip kifupi hakioneshi alikuwa kaulizwa swali gani na huyo mwandishi wa habari, wameanzia wapi, alikuwa ana refer nchi gani specifically au ni general statement tu na kadhalika. Kama ni kweli basi adhabu ya kunyongwa hadi kufa inamsubiri unless madaktari wagundue kwamba ana ugonjwa wa akili (schizophrenic mental disorder).
 
Unakidharau hicho ki clip tu? Uhaini ni kosa ambalo huwepo kabla halijafanyika.
 
Nilijua tu nyie wakenya mnapata tabu sana kuona Tanzania imetulia.
Nakuwekea video tena kwa mara ingine uone huyo Slaa kasema nini.
Huyu ni wa kunyonga tu.
Tazama hio video halafu nambie. Huyu anatakia mema nchi yetu?
Hii video nimeshaitazama toka mwanzo, kwanza ni kipande kilichokatwa toka kwenye statement ambayo alikuwa anaitoa Dr. Slaa, akatolea mfano njia za kuipindua serikali kama ndio extreme, ambapo hakuna popote aliposema ataanzia Dodoma kufanya hivyo kama mleta uzi, muongo mwenzio alivyoandika kule juu kwenye uzi wake.

Nyie ni kundi la wafia dini, wenye chuki binafsi, msio na maana yoyote, miaka yote mmejipambanua kwa huu ujinga wenu.
 
Haui muhain kwa kuongea tu acheni uzwazwa.

Serikali ina kazi ya kufanya na kuithibitishia mahakama beyond reasonable doubt kwamba slaa ni mhaini.

Mliona kesi ya mbowe jinsi serikali ilivyoangukia pua kwa kesi za mchongo.
 
Ushauri wangu, watu wafanye kama walivyofanya Mbowe, Lussu na Lema, watume watu kimya kimya waombe radhi kwa mama, atowe amri watolewe. Nje ya hapo? Tutakesha sana.
Wacha ujinga, wapelekwe mahakamani, hakuna kuanza kujiliza hapa na ushahidi wenu wa kutungia madrassa.
 
Kupinga kuuzwa kwa bandari ni Uhaini[emoji3][emoji3][emoji3]Black people bhanaa kweli bara la gizaa
Labda Dr.mihogo alikuwa kalewa hata sisi tunamshangaa mtu unapinga bandari lakini unahamasisha mapinduzi wapi na wapi? Mbona wapinga bandari wengi tu hawajakamatwa shivji, tibaijuka , mbowe, lissu sijui butiku n.k

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Weka video yote au link yake. Hicho ki clip kifupi hakioneshi alikuwa kaulizwa swali gani na huyo mwandishi wa habari, wameanzia wapi, alikuwa ana refer nchi gani specifically au ni general statement tu na kadhalika. Kama ni kweli basi adhabu ya kunyongwa hadi kufa inamsubiri unless madaktari wagundue kwamba ana ugonjwa wa akili (schizophrenic mental disorder).
Hawa ni kundi la wajinga wanaoongozwa na mihemko ya udini miaka yote.
 
WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi

"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"

"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"

"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Karibu mkuu baada ya kupotea kipindi chore Cha urais wa JPM
 
Back
Top Bottom