Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Sisi ndio viongozi wako baada ya 2025 , uwe na adabu
 
Yaani wewe umeamua kukata kakipande haka tu ili ku justify uhaini wa Dr Slaa?

Mazungumzo yake yote kuanzia mwanzo mpaka hapo yako wapi ili tupate mantiki ya hoja yote?
Hapo hamna case.

Tusikubali kuondolewa kwenye Reli.

Mali ya ukoo haiuzwi, haikodishwi Wala kugawiwa Bure.

Kununua Mali ya urithi ni sawa na kuokota pesa za majini njiapanda!!

Epuka matapeli!!!
 
Cha kuwasukuma ni ishu nzima ya mkataba imekaa vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya yote yaliyoandikwa hapa aliyasema Slaa. Aliyasemea wapi?

Wanaopindua serikali huwa wanatangaza namna hii kuhusu mipango yao ya kupindua?

Kichwa cha madakinauliza swali juu ya walio nyuma ya mpango huo wa kupindua. Mbona ni rahisi kumuuliza huyo huyo aliyetangaza, tena hadharani bila kificho chochote juu ya mpango wao, maana wamemtuma huyo anayewasemea akatangazie dunia nzima mpango wao huo.
Wasingetaka kujulikana na kusababisha mada kama hii iwepo hapa JF, bila shaka wasingeruhusu huyo aliyekwenda hadharani na kuyatangaza mapinduzi.

Inachotafuta mada hii ni kukisia tu watu walengwa wa hisia za mleta mada hapa jukwaani.

Ingefaa zaidi aanze yeye kuwataja alionao akilinini mwake.
 
Hamna uhusiano na watu weusi hii kesi mbona mahakama imeishatoa majibu, jadili maneno ya Dr Slaa, usiwasingizie watu weusi, juzi Marekani kuna mtu kakamatwa katishia kumpindua Rais.
Sasa unakuwa mwongo waziwazi.
Nani kakamatwa akitamka kumpindua Biden?

Inaonekana upo kwenye kampeni maalum hapa kwa kuzua mambo yasiyokuwepo, au ya kutengenezwa ili kukidhi matakwa.
Itakuwa kazi kubwa sana kwenu kulifanikisha hili.
 
Umewaza kimaskini sana kuanzia fedha mpaka akili
 
Miaka yote wao hutazama ikulu yupo nani, kisha hata afanye kosa gani wao watamlinda kwa kila njia, hasa inapotokea wanaompinga aliyepo ikulu, ni wa dini tofauti nao, tena mbaya zaidi mfano akiwa mtu wa aina ya Dr. Slaa, aliyekwahi kuwa padri ndio watahakikisha wanajaza kila aina ya uongo kujiridhisha.
 
View attachment 2718158
Babu mtondoo ataubeba sana
Wewe hupaswi, hata kidogo, kushangilia Dr Slaa kuwekwa ndani. Kumbuka ulikotoka na Dr Slaa akakupokea chadema na kukupa ukumbi wa kijinafasi. Leo hii kushangilia kwa kuwa Dr Slaa amewekwa ndani ni kumkosea fadhiri. You need to stop this nonsense of celebrating what this guy is going through right now.
Ukiamua kuendelea kushangilia unaweza, lakini kumbuka, historia itamkumbuka Dr Slaa kama shujaa aliyeipenda nchi yake na watu wake kuliko wewe uliyewapenda mafisadi na mabeberu kuliko nchi yako.
 
Upande wenu ni hayo ndiko kwenyewe,, usipakazie watu
 
Shujaa kadata , usiku ,mchana yuko kwenye vyombo vya habari anaongea yeye tu, Ubalozi ulikuwa mtamu , kuukosa ni hasara kubwa kwake . Njaa imemtoa akili
 
 
Pamoja na maoni yako kuna haja ya kuwadhibiti wanasiasa wa hovyo ambao ukiwaachia huru sana wanaweza kufanya kweli wewe ukidhani wenzio wanatema nyongo. Nia yao ni ovu lazima idhibitiwe. Serikali lazima iheshimiwe. Hawana uwezo huo kama unavosema lakini wana nia hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…