imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Watakuwa wamejiua, au watafanyiwa force feedingWakifa, Rais Samia Suluhu Hassan lazima awaumbe wengine wanaofanana na hao..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuwa wamejiua, au watafanyiwa force feedingWakifa, Rais Samia Suluhu Hassan lazima awaumbe wengine wanaofanana na hao..!
Msitutoe kwenye HOJA ya Bandari!!!!Kama walikua hawatanii basi wasubiri kunyongwa. Uhaini hukumu yake ni kifo
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sisi ndio viongozi wako baada ya 2025 , uwe na adabuShujaa wa nyuma ya keyboard upo? Itisha maandamano ya kupinga kina Mdude kukamatwa. Ila wewe na kikundi kidogo cha Mbowe ndani ya CHADEMA huwa ni wajanja hamwendi front kizembe kama Mdude. Sasa hivi mko makwenu mnajilambia asali wakati Mdude akipigwa baridi kwenye sakafu za mahabusu.
Hapo hamna case.Yaani wewe umeamua kukata kakipande haka tu ili ku justify uhaini wa Dr Slaa?
Mazungumzo yake yote kuanzia mwanzo mpaka hapo yako wapi ili tupate mantiki ya hoja yote?
Cha kuwasukuma ni ishu nzima ya mkataba imekaa vibayaKweli baadhi ya vipengele baina ya serikali na DP World vinachangamoto lakini ni kipi kilichowasukuma mpaka watoe kauli za namna hiyo?
Swali lisiwe kwamba je wana uwezo wa kupindua? Swali liwe Kipi kilochowasukuma wao kutoa kauli za kuchochea kufanya mapinduzi?
Viongozi wa mioyo ya nyumbu 🤣🤣🤣Sisi ndio viongozi wako baada ya 2025 , uwe na adabu
Haya yote yaliyoandikwa hapa aliyasema Slaa. Aliyasemea wapi?WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Sasa unakuwa mwongo waziwazi.Hamna uhusiano na watu weusi hii kesi mbona mahakama imeishatoa majibu, jadili maneno ya Dr Slaa, usiwasingizie watu weusi, juzi Marekani kuna mtu kakamatwa katishia kumpindua Rais.
Hakuna chochoteKuna jambo litafanyika kama Samia akiendelea hivi.
Umewaza kimaskini sana kuanzia fedha mpaka akiliMwakubusi ameyatimba, kafutwa uwakili, kajieka kwenye matatizo makubwa, hivi angetulia zake maisha yaende kama na hela anayo angepungukiwa nn? 😂😂, Hivi nikifiria jinsi kuwa wakili ilivyokuwa ngumu, Yani upige vizuri advance, chuo uishone kwelikweli, school of law ule mtihani wao mgumu kumeza utoboe, bado uchaguliwe na judge mkuu, uoneshe juhudi uwe wakili, af kisa mambo ya serikali ufutwe uwakili...dooh!!
Miaka yote wao hutazama ikulu yupo nani, kisha hata afanye kosa gani wao watamlinda kwa kila njia, hasa inapotokea wanaompinga aliyepo ikulu, ni wa dini tofauti nao, tena mbaya zaidi mfano akiwa mtu wa aina ya Dr. Slaa, aliyekwahi kuwa padri ndio watahakikisha wanajaza kila aina ya uongo kujiridhisha.Thanks for the advise. Manake huwa nashindwa kumuelewa huyu FaizaFoxy anaonekana kama ndio mkuu wa Kikundi hicho,na kila jinsi ninavyosoma humu inaonekana na Inawezekana huyu n Bb yangu, yani according to mengi anayoyasema yeye na wengine. Hakika wanajitoa akili na ufahamu, na ni waongo kweli.
Wewe hupaswi, hata kidogo, kushangilia Dr Slaa kuwekwa ndani. Kumbuka ulikotoka na Dr Slaa akakupokea chadema na kukupa ukumbi wa kijinafasi. Leo hii kushangilia kwa kuwa Dr Slaa amewekwa ndani ni kumkosea fadhiri. You need to stop this nonsense of celebrating what this guy is going through right now.View attachment 2718158
Babu mtondoo ataubeba sana
Nimepata habari kuwa Mdude na Mwambukusi wako hoi kwa sababu ya kugoma kula
Upande wenu ni hayo ndiko kwenyewe,, usipakazie watuMiaka yote wao hutazama ikulu yupo nani, kisha hata afanye kosa gani wao watamlinda kwa kila njia, hasa inapotokea wanaompinga aliyepo ikulu, ni wa dini tofauti nao, tena mbaya zaidi mfano akiwa mtu wa aina ya Dr. Slaa, aliyekwahi kuwa padri ndio watahakikisha wanajaza kila aina ya uongo kujiridhisha.
Una hoja gani ya maana mpaka mtu ahangaike kukutoa wewe?Msitutoe kwenye HOJA ya Bandari!!!!
Mkataba Ule ni BATILI na FAKE uondolewe mara moja.
Na hakuna mtu atahukumiwa Kwa case za kubumba.
Shujaa kadata , usiku ,mchana yuko kwenye vyombo vya habari anaongea yeye tu, Ubalozi ulikuwa mtamu , kuukosa ni hasara kubwa kwake . Njaa imemtoa akiliWewe hupaswi, hata kidogo, kushangilia Dr Slaa kuwekwa ndani. Kumbuka ulikotoka na Dr Slaa akakupokea chadema na kukupa ukumbi wa kijinafasi. Leo hii kushangilia kwa kuwa Dr Slaa amewekwa ndani ni kumkosea fadhiri. You need to stop this nonsense of celebrating what this guy is going through right now.
Ukiamua kuendelea kushangilia unaweza, lakini kumbuka, historia itamkumbuka Dr Slaa kama shujaa aliyeipenda nchi yake na watu wake kuliko wewe uliyewapenda mafisadi na mabeberu kuliko nchi yako.
Wachukuliwe kama wanasiasa wanatema nyongo tu ,hakuna mwenye nia ya kupindua serikali akasema kwenye interview luningani.....Askari/Mahakama wasipoteze muda na resources kudeal na void cases ,kuna watu wamesingiziwa wanasota jela ni bora wajikite kuzifanyia kazi hizo cases kupunguza watu wasio na hatia
Pamoja na maoni yako kuna haja ya kuwadhibiti wanasiasa wa hovyo ambao ukiwaachia huru sana wanaweza kufanya kweli wewe ukidhani wenzio wanatema nyongo. Nia yao ni ovu lazima idhibitiwe. Serikali lazima iheshimiwe. Hawana uwezo huo kama unavosema lakini wana nia hiyo.Wachukuliwe kama wanasiasa wanatema nyongo tu ,hakuna mwenye nia ya kupindua serikali akasema kwenye interview luningani.....Askari/Mahakama wasipoteze muda na resources kudeal na void cases ,kuna watu wamesingiziwa wanasota jela ni bora wajikite kuzifanyia kazi hizo cases kupunguza watu wasio na hatia gerezani.