Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Hamna uhusiano na watu weusi hii kesi mbona mahakama imeishatoa majibu, jadili maneno ya Dr Slaa, usiwasingizie watu weusi, juzi Marekani kuna mtu kakamatwa katishia kumpindua Rais.
Dr Slaa kasema wapi hayo maneno? Mbona propaganda zinazidi humu JamiiForums. Sijui jamii check ilishakufa!
 
Kaulizwa wananchi wanaweza kufanya Nini? Kasema zipo options na kufanya mapinduzi ni EXTREME options. Sasa extreme si Ina maana ni hatua ya mwisho iliyovuka mstari? Sasa wapi hapo kasema atafanya mapinduzi au tufanye mapinduzi? Stating options doesn't mean ndio ume opt for the said option.

Acheni upotoshaji
 
Exactly [emoji817]
 
Hizi ni mbinu tu za kuzima ukosoaji
 
Na hapo kasema watakaofanya mapinduzi ni wananchi na siyo yeye
 
Kwa maana hiyo hizo sekunde 9 ndizo alizoongea pekee au ndio kama kawaida yenu ya kukatakata vipande na kusikiliza kinachowafurahisha na mnachotaka kukisikia ili iwe kheir kwenu?
Mbona maneno yake nimeandika hapo juu au uvivu wa kusoma?
 
Halafu huu ujinga wa kusema eti "Mwabukusi alisimama kwa ajili ya watanzania" uishe mara moja, watanzania wengi tumefanya utafiti na tumejiridhisha kuwa DP World imewekeza nchi 40 duniani kote na tumeridhia iwekeze na kwetu Tanzania. Huyo alisimama kwa ajili ya Watanzania wepi?
 
Ndugu, Mwabukusi anaipinga Dpw nzima nzima au vipengele vya kidhalimu vilivyomo kwenye mkataba?
 
Dp world. za kuambiwa changanya na zako
 
Hii nchi ilishawahi kunyonga wangapi kwanza tuanzie hapo, au ndio waanze na akina mdude?
-Kuhusu kunyonga, anayesaini hati za watu kunyongwa ni Rais, i.e maana yake ni mpaka Rais asaini ndio mtu anyongwe
-Kuhusu idadi ya walionyongwa Sina
 
Msitutoe kwenye HOJA ya Bandari!!!!

Mkataba Ule ni BATILI na FAKE uondolewe mara moja.

Na hakuna mtu atahukumiwa Kwa case za kubumba.
Kwa mujibu wa Mahkama Mkataba ule ni Halali kabisa
 
  • ww ndiye Fool, Tena fool number 1
  • ungekuwa sio Fool, usingeandika Hukumu zote hadi kunyongwa zinatolewa na Mahakamu huu ni Uongo na hapa umeonyesha kuwa wewe ndiye Fool number 1, Hukumu za kunyongwa zinatolewa na JAJI wa Mahakama kuu au Hakimu aliyeongezewa Mamlaka,
-
 
Kumbe unajua tofauti ya jela na mahabusu.
Sasa ulikuwa unabisha kwa faida gani.

Acheni kupoteza muda humu vijana.
Kuna mambo muhimu ya kufanya .
  • mwanzoni mimi nilisemaje? Si nilisema Concept ni GEREZA?
  • Kafanye ww hayo mambo muhimu hapo Lumumba
 
Kwanza, karibu jamvini baada ya kupotea miaka mingi sana.

Tunatumai u mzima wa afya tele.

Swali lako ni zuri sana na la kina, binafsi ntadonoa kidogo kidogo huku nikitazama hali ya hewa.
 

Attachments

  • 502e45e5-d55b-40ec-aebe-949be907da0e.mp4
    2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…